Salaam wanaJF. Mbunge wa Iramba Mashariki Salome Mwambu yuko hoi jimboni kwake kwani ameshindwa kutekeleza ahadi zake alizoahidi mwaka 2010. Jimbo halina miundombinu ya uhakika kama barabara. Barabara zipo kama palio la n'gombe na hazipitiki wakati wa masika. Afya na elimu pia ni hoi. Wananchi sasa wamejiandaa kufanya mabadiliko makubwa hapo October 2015 kwa kukifuta kabisa Chama Cha Mapinduzi na kuchagua CHADEMA kama mwokozi wao.
Salaam wanaJF. Mbunge wa Iramba Mashariki Salome Mwambu yuko hoi jimboni kwake kwani ameshindwa kutekeleza ahadi zake alizoahidi mwaka 2010. Jimbo halina miundombinu ya uhakika kama barabara. Barabara zipo kama palio la n'gombe na hazipitiki wakati wa masika. Afya na elimu pia ni hoi. Wananchi sasa wamejiandaa kufanya mabadiliko makubwa hapo October 2015 kwa kukifuta kabisa Chama Cha Mapinduzi na kuchagua CHADEMA kama mwokozi wao. Pia Salome yupo hoi kiafya kutokana na maradhi mbalimbali yanayomsumbua kama UKIMWI na Kisukari.
mnanichanganya Tundu lisu ni Mbunge wa Iramba ipi na savimbi ni mbunge wa iramba ipi, hapo confused
UKIMWI = Ukosefu wa Kinga Mwilini
UKIMWI unasababishwa na chronic diseases like leukemia, TB, Cancer and the mother of all HIV au VVU
Mkuu Tundu Lissu ni mbunge wa Singida Mashariki, na sio Iramba. Savimbi ndo Iramba Magharibi. nadhani hapo umeelewa sasa.mnanichanganya Tundu lisu ni Mbunge wa Iramba ipi na savimbi ni mbunge wa iramba ipi, hapo confused