Mtanzania1
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 1,170
- 175
good pwenti ila lazima ukubali kwamba watu wamechoka na wanateseka kila siku
usomacho ni hali halisi ya chuki itokanayo na unfair society
ndugu wa dr uli nao walijiskiaje????afe tu kufa ni lazima kwa kila binadamu,,,,,,
Nijuze mchango wake kuhusu Madaktari ukoje? Kama aliwaponda basi hatuna haja ya kujihusisha nae. Mdomo umtibu!
Nadhani kuweka chuki si jambo la busara.. ...cha maana ni kujilaumu sisi wenyewe kwa kuwapa kura. .....hivyo tuvumilie muda uishe tuamue tena......ndiyo demokrasia
iweje singida mashariki wae na viti maalum? definitely itakuwa jimboni wa jimbo au viti maalum?
jembe la kujaza vyoo?kama kuna m2 yuko huko plse atujuze kuhusu huyu mheshimiwa kwani ni jembe la ukweli sana bungeni
Drs nawakumbusha Aliyemteka Dr. Ulimboka ni RAMADHANI IGHONDU mfanyakazi wa Ikulu
Mkuu Mpungati, kuugua sio kufa, wanaweza wakaondoka wazima wakati aliye mahututi akaendelea kujikongoja!Kwa hali aliyonayo sasa hivi, tujiandae kwa uchaguzi mdogo.