Chalii ananjaa hatari sabaya ndio alimpitisha kua mbunge wa kutangazwaMbowe asingefanya kitu yeye angefikaje hapo!
Nchi hii ina wajinga wengi!
Kweli kabisaMbowe's 'magic' is over! Ni bora tu angechagua kustaafu kwa heshima ili vizazi vijavyo vimkumbuke kama mwanasiasa hodari kuliko hivi ambavyo ameanza kujiabisha.
Akiendelea hivi Mbowe atawekwa 'fungu moja' na Herode, Mugabe and the like: The great men whose downfall were ochestreated by their 'second' wives.
View attachment 2226147
Umeelewa ulichoandika?Mbowe asingefanya kitu yeye angefikaje hapo!
Nchi hii ina wajinga wengi!