Mbunge Prosper Mbena wa Morogoro Kusini Mashariki(CCM) amelisusa jimbo

TAWA

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
3,667
1,566
Ni dhahiri ameshindwa kuliongoza jimbo la Morogoro Kusini Mashariki. Haonekani Bungeni wala jimboni.

Tulimuona alipokuja kuhudhuria msiba Wa mama yake Mzazi tu. Baada ya hapo hatujui alipo.

Sasa huyu ni msemaji wetu, ni Mwakilishi wetu lakini naamini huko aliko sidhani kama anajua shida tunazokumbana nazo huku.

1. Jimbo hili halina hata centimeter moja ya barabara yenye kiwango cha lami

2. Jimbo hospital kubwa ya wilaya ipo katika kata tawa lakini vituo vidogo vilivyopo vipo dhohofu. Hata hii hospital inayoitwa ya wilaya hakuna tiba zinazoeleweka

Kokote ulipo mheshimiwa njoo utusikilize kero zetu ukatusemee, maana hiyo ndiyo kazi yako tuliyokupatia

IMG_20190421_090711_432.jpeg
 
Katika jinbo linalosikitisha ni hili, eti mpaka Kalogeres anatoka moro mjini hana hata rafiki acha ndugu jimboni alichaguliwa kuwa mbunge.
 
Prosper Mbena ni CCM! Alikua Aide wa JK na alitarajia uwaziri baada ya kutoswa kaamua kususa!!

I know this person very well, ubunge anapoteza muda tu
Kwa hiyo ana hasira..
Sasa kama ni hivyo huo ubunge aligombea wa nini
 
Back
Top Bottom