Hawaki
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 757
- 1,054
Huenda hujui tu. Barabara hiyo ya Morogoro Kisaki/selous ipo kwenye plan tayari hivyo si agenda tena muda mfupi ujao, na isingekuwa agenda kama jiwe asingepindisha vipaumbele vya nchi hii. Pamoja na ile barabara ya mvuha ngerengere Ubena. Barabara zinazounganisha kata na vijiji ni agenda ndogo sana ambayo sidhani kama nitaifanya kama agenda kuu.Umefeli
Nadhani jimbo bado hulijui. Nenda kafanye tena reconnaissance survey. Hayo yote uliyoytaja siyo matatizo ya jimbo hilo.
Tatizo kubwa ni ukosefu Wa barabara inayopitika muda wote. (All weather roads) kukishakuwa na barabara hayo yote uliyoyasema yanajileta yenyewe.
Nadhani kipaumbele chako cha kwanza kingekuwa barabara ya kuunganisha mji Wa Morogoro na jimbo,lakini barabara za kuunganisha kata muhimu za jimbo lote. Mfano. Kata ya kibungo juu kwenye kilimo cha maharage na matuda, kata ya tawa kwenye hospital ya wilaya, kata ya kisemu na konde kwenye kilimo cha viungo kama karafuu na hiriki. Kata ya Kisaki kupitia mvua na pori tengevu la kilengezi mpaka Dutumi.
Jiridhishe dhamira yako upya
Agenda kuu ya Jimbo la Morogoro Kusini ni elimu na kilimo chenye tija mkuu. Shule zetu ni among the worst perfomer katika nchi hii. Jimbo halina hata technical schools/vocational training.
Hivyo sikuitaja agenda ya Barabara kwa kuwa najua ni agenda ya muda mfupi. Ni suala la huyu mpindisha vipaumbele tu kuondoka basi.