Mbunge Nyalandu yuko wapi?

Wakishatoka kwenye uwaziri huwezi kuwasikia tena. Chezea ulaji ww.
 
Hivi ajali ya Filikunjombe ilishafanyiwa Uchunguzi? au waliamini ni ajali tu basi, Ile helikopta ililipuliwa angani katika mbuga za wanyama na Nyalandu alionekana akiwa anahaha sana kutuma vikosi vya uokozi etc! mh.
Tutakuhitaji kwa maelezo zaidi,

Jiandae.
 
Huyu nyalandu hana cha kupoteza maana hata ubunge inasemekana aliununua kwa kugawa hela kwenye viberiti RUSHWA RUSHWA bora wabunge wangekua wanawajibishwa
Maana jimboni kwake barabara mbovu
Singida ilongero mpaka ngamu
Na ile ya mtinko hata mgori

Maji ni tatizo
Ye tunasikia anatoa mihela huko dar ila jimbo lake kalisahau
Tangu kachaguliwa hajarudi jimboni kuhamasisha maendeleo kwa wapiga kura wake
 
Hawa ndiyo walionufaika na awamu ya nne, vibali vya vitalu kule vilipatikana kutoka kwa waziri, usipime.
 
Yupo anatumia mafao yake toka awamu ya 1v
 
Mibongo ni mijitu ya ajabu sana. Hivi mnanitakia nini? Si mfanye yenu namuish kivyenu? Ndio maana hamna aman.

Ama mkinisema vibaya humu mnafarijika maumiv makal yenu dhid yang yanapungua? Mpompo tu mnataka wote tuwe sawa?

Can't entertain shittt anymore going back to the states for good
 
hizi ni tuhuma kubwa sana! unaushahidi wa kutosha DPP afungue mashtaka?
Sijamtuhumu Mtu, Nimeeleza yaliyotokea, 1) Helikopta Ililipuka angani 2) Ilikuwa Ni katika Mbuga za Wanyama 3)Nyalandu somehow akawa wakwanza Kupewa Taarifa 4) Akatuma Vikosi vya Uokozi as if alikuwa Ni IGP, 5) Akawa anatoa Taarifa mara kwa mara Kwenye Mtandao. 6) Siku kadhaa Mzungu mmoja akatunguliwa naye, 7) Baadaye akauwawa "na Majambazi" Kachero wa Wanyamapori. Sasa Mimi Nachosema hapa. Yanapotokea Matukio yenye Utata? Ni Vizuri kufanya Uchunguzi, Nchi zilizoendelea Mtu ukionekana suspicious wakati kuna kifo cha Utata Kimetokea Hata kama wewe ni Baba mtu, Mke, Rafiki, Kaka, Mama, Dada utachunguzwa. Na kama ikiridhisha huna hatia Unaachwa uendelee na Maisha it is not personal! Mimi Nilichekecha mazingira ya tukio Na mapema Nikasema Uchunguzi Ufanyike Kama hujuma na sio ajali tu (Kwa Kifo cha Deo Filikunjombe) Na sio Kuwa Kuna Nachojua zaidi yenu!
 
Yupo ila amejiuzulu huo ubunge leo hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…