ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.
Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifudhu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.
Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefudhu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.
Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa walioopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...
Kwani yeye ana tofauti gani na hao waliokwenda?? Yeye alikuwa na majukumu mazito jimboni ndo maana akaahirisha na sio kwamba alikimbia vitisho. Kwani kule kuna vitisho gani zaidi ya hivi anavyokumbana navyo kwa hawa policcm wenu?
Si ndio hapo utakaposhangaa,Kwani yeye ana tofauti gani na hao waliokwenda?? Yeye alikuwa na majukumu mazito jimboni ndo maana akaahirisha na sio kwamba alikimbia vitisho. Kwani kule kuna vitisho gani zaidi ya hivi anavyokumbana navyo kwa hawa policcm wenu?
hahahahaha! kamanda amedodge!
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.
Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifudhu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.
Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefudhu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.
Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa walioopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...
Hayo mafunzo ya wiki tatu hana hata haja ya kujuta maana anaweza akayafanya mwenyewe nyumbani! watu walikuwa wanasota mwaka mzima baadae wakapunguza ikawa miezi sita sasa wewe wiki tatu unaona kuna mafunzo gani ya kutosha yamefanyika kama sio kuuza sura!
Ajute kwa lipi nyie si mumeenda kwa show off hakuna kitu umefanya kitaifa wewe ,ni show off tu yaani wiki tatu umeona mwezi mwezi kwani uienda mwenyewe kule mbona walioeenda hawajaweka matangazo vifuani kuna kitu ulikosa utotoni unacompasent sasa kisaikolojia unahitaji mshauri nasaha wa kukuweka sawa kidogoHahahahahahahahaha kamanda kausoma mchezo kaona maji marefu, ila sasa anajuta!
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.
Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifudhu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.
Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefudhu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.
Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa walioopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...
Muligombea bibi na akakuzidi kete unataka Nasari aishi maisha yako we vipi mwanaume mbeya , utalazimishwa usukume chapati ebo walioacha kwenda wengine hujawaona ila huyo tuAfadhali wiki tatu kuliko wiki sifuri.
Dogo aliingia mitini jimboni, watu wakadhani yuko JKT. Sasa picha za wote waliofudhu zimewekwa hadahrani kwa hiyo hawezi tena kuwadanganya wadau kuwa alikuwa JKT.