mgoloko
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 4,802
- 3,996
YEYE na JANUARI watasaidia kumuondoa Mr. KIKI 2020Nappe Mzee wa bao la mkono au amesahau kuwa hata huo ubunge wake ni wa dhuluma dhidi ya Chadema.
YEYE na JANUARI watasaidia kumuondoa Mr. KIKI 2020Nappe Mzee wa bao la mkono au amesahau kuwa hata huo ubunge wake ni wa dhuluma dhidi ya Chadema.
Rafiki/mshirikaAdui wa Adui yako......................................................
Rafiki!Adui wa Adui yako......................................................
Huyu jamaa tangu wamtumbue akili yake imepararariziSasa hapo nape kamtabiria vp uhuru kenyata ushindi wa urais kenya wakati tayari odinga kajitoa ktk uchaguzi huo?!
kilaza wahedi
Kifupi vijana akiwemo Nape wamemwabgusha magufuli simshangau teuzi sake nyingi kuweka watu wazima.many youth don't know how to behave.Kumwondoa uwaziri Nape magufuli alikuwa sahihi .Nape is still a playboy hakutakiwa kupewa ofisi kubwa kama ya uwaziri prematureNape anamshika sharubu Baba J
Mambo Ya Kenya waachieni wakenya kipindi hiki Nape kama mbunge wa CCM hakutakiwa kutoa tamko kama hilo.Yeye ni mbunge wa mtama tu sio msemaji wa CCM wa mambo ya nchi za nje.CCM Ina idara Ya mambo ya nje Nape asiwaingile kakiuka maadili Na protocol za chama.CCM mchukulieni hatuaNeno Uhuru Kenyatta kushinda Uraisi Kenya tena linamyima usingizi hata Raisi Magufuli kwahiyo hilo alilolisema Nape ni Dongo kwa CCM kumbuka Lowassa alikua Kenya anamkapenia nani! Hahahaaaa
Nafafananisha uchaguz wa marudio wa kenya na zanzibar
Wamefanana kila kitu.Seif alijitoa Shein akapita
nae odinga kajitoa Uhuru atapeta
Hapa ndo hua naamini kwanini CCM kinaitwa chama cha ukombozi Afrika,hivi vyote huiga ccm

ccm mnaanza kufunguka IPO Sikh mtafunguka juu ya uraisi wa "dinosaur wa Dodoma"Nappe Mzee wa bao la mkono au amesahau kuwa hata huo ubunge wake ni wa dhuluma dhidi ya Chadema.
Siasa za kiafrika za hovyo kabisa.Nafafananisha uchaguz wa marudio wa kenya na zanzibar
Wamefanana kila kitu.Seif alijitoa Shein akapita
nae odinga kajitoa Uhuru atapeta
Hapa ndo hua naamini kwanini CCM kinaitwa chama cha ukombozi Afrika,hivi vyote huiga ccm
Kipindi hicho chadema pia walikuwa wakimuunga mkono odinga Na walipeleka hadi magari Na kumfanyia odinga kampeni pamoja Na kujua magufuli alikuwa naye hilo unalisemeaje?![]()
Hapa walikuwa wanamuiga Magufuli au CCM , au umejikuta mdomo na mkono vimepitwa?
ge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amefunguka na kumtabiria ushindi mgombea wa urais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kusema kuwa atashinda uchaguzi huo ambao utafanyika Alhamisi Oktoba 26, 2017 na kusema Uhuru ndiye anayestahili kuongoza nchi hiyo.
Nape Nnauye amedai kuwa Uhuru Kenyatta anastahili kuwa Rais wa Kenya kwa sababu yeye ni mwana demokrasia wa kweli hivyo anaamini raia wa Kenya watampa kura nyingi za kutosha na kumpuuza mpinzani wake Raila Odinga.
"Unastahili kuwa Rais wa Kenya Mwana demokrasia wa kweli. Naamini ndugu zangu wa Kenya watakuchagua kwa kishindo kesho na kumpuuza kibaraka".
Ameandika Nape Nnauye kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Nchi ya Kenya kesho inategemewa kufanya uchaguzi wa marudio wa nafasi ya urais kufuatia mahakama ya juu nchini humo kufuta matokeo ya urais.
Nasema hivyo kwasababu nape 2020 ni mbunge na waziri kupitia Chadema.Dude go BACK to schoolHalafu mnajiita mashabiki wa Chadema hamjui kuwa hata mgombea wenu wa ubunge ambae alistahili ushindi alifungwa miezi sita jela kutokana na figisu za Nappe.
Kweli nyie ni zaidi ya Nyumbu.
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amefunguka na kumtabiria ushindi mgombea wa urais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kusema kuwa atashinda uchaguzi huo ambao utafanyika Alhamisi Oktoba 26, 2017 na kusema Uhuru ndiye anayestahili kuongoza nchi hiyo.![]()
Nape Nnauye amedai kuwa Uhuru Kenyatta anastahili kuwa Rais wa Kenya kwa sababu yeye ni mwana demokrasia wa kweli hivyo anaamini raia wa Kenya watampa kura nyingi za kutosha na kumpuuza mpinzani wake Raila Odinga.
"Unastahili kuwa Rais wa Kenya Mwana demokrasia wa kweli. Naamini ndugu zangu wa Kenya watakuchagua kwa kishindo kesho na kumpuuza kibaraka".
Ameandika Nape Nnauye kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Nchi ya Kenya kesho inategemewa kufanya uchaguzi wa marudio wa nafasi ya urais kufuatia mahakama ya juu nchini humo kufuta matokeo ya urais.
Wameanza kuwa na mahaba na Nape,kuliko Suleiman Mathew!!Halafu mnajiita mashabiki wa Chadema hamjui kuwa hata mgombea wenu wa ubunge ambae alistahili ushindi alifungwa miezi sita jela kutokana na figisu za Nappe.
Kweli nyie ni zaidi ya Nyumbu.