Mbunge na TFDA!

Mbunge na TFDA!

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
TFDA hapa tanzania ni shirika chini ya wizara ya afya linaloshughulikia ubora na usalama wa madawa, vyakula, vipodozi nk.
Mbunge mmoja (mzeemzee hivi) alisimama bungeni kuzungumzia shirika hilo na kuanza:
"Hili shirika la TPDF....................."
 
Back
Top Bottom