Mbunge mwingine afariki

Kanyafu Nkanwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2010
Posts
851
Reaction score
104
Kuna tetesi kuwa mbunge mwingine ambaye amewahi kuwa naibu waziri amefariki! Wenye news turushieni
 
Sasa hizi habari gani bana hebu lete habari inayoweza eleweka
 
Au Jeremiah Sumari yule wa kule Arumeru magharibi.?
 
Ni Mheshimiwa Jeremiah Sumari. R.I.P tutakukumbuka kwa weledi wako katika utendaji bungeni na serikalini
 
mwaka huu serikali lazma ifilisike hata ikitetewa na tendwa
=kafulila
=rashid hamad
=uzini
=sumary
=..........
=...........
=............
kura moja ccm wananunua laki 3 na bado miaka4.
 
Ameteseka vya kutosha muache apumzike (rip kin'gan'ganizi wa ubunge)
 
mwaka huu serikali lazma ifilisike hata ikitetewa na tendwa
=kafulila
=rashid hamad
=uzini
=sumary
=..........
=...........
=............
kura moja ccm wananunua laki 3 na bado miaka4.

Kwa hesabu hizi,TUMEKWISHA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…