Acha kukariri wewe, msukuma anatumia iPhone ya bei si chini ya milioni mbili.Cha ajabu ni kufunga rubber band kwenye simu, huyu mtu haoni umuhimu wa maintenance wala quality ya chochote...
...lami zikikongoroka atasema jazeni kifusi
...IV Fluids zikiisha mahospitalini atasema wapeni maji ya chumvi
.... wananchi wanakutumia picha na documents za vitu vinavyohitaji attention wewe una kitochi hakiwezi kuzifungua
... wananchi wake wenye TECNO za laki moja wako more informed na ulimwengu kwa vile huyu amepitwa na mapinduzi ya habari, hajui kinachoendelea nchini wala duniani kwa sababu anapata taarifa zake kwa kusubiri gazeti la kesho au taarifa ya TBC
Ndio upeo wake. Hatuwezi kupata maendeleo na watu kama hawa wenye simu za raba bendi!
Sio Burehapo kuna kituHabati za majukumu wanajamvi nmeona simu anayotumia Msukuma(mbunge wa Geita vijijini)nikasema ngoja tuone kwa pamoja na tujue maoni ya wengine...
Namnukuu
“Simu yangu naipenda sana maana ina historia kubwa sana na ikitokea imeharibika nitaiweka nitaiweka kwenye makumbusho" - Musukuma
Toa maoni yako
View attachment 786058
Kapicha kidogo itapendeza sana mkuu.Msukuma ni moja ya watu wenye pesa ndefu.
Halafu mnaodhani eti anatumia hicho kitochi mko wrong, jamaa ana iPhone Kali balaa!
Not always with that probability!!Kapicha kidogo itapendeza sana mkuu.
Mkuu ina maana kifaa cha electronic kinacho access information ni simu pekee? Tutajuaje labda anatumia PC, au IPAD etc.Cha ajabu ni kufunga rubber band kwenye simu, huyu mtu haoni umuhimu wa maintenance wala quality ya chochote...
...lami zikikongoroka atasema jazeni kifusi
...IV Fluids zikiisha mahospitalini atasema wapeni maji ya chumvi
.... wananchi wanakutumia picha na documents za vitu vinavyohitaji attention wewe una kitochi hakiwezi kuzifungua
... wananchi wake wenye TECNO za laki moja wako more informed na ulimwengu kwa vile huyu amepitwa na mapinduzi ya habari, hajui kinachoendelea nchini wala duniani kwa sababu anapata taarifa zake kwa kusubiri gazeti la kesho au taarifa ya TBC
Ndio upeo wake. Hatuwezi kupata maendeleo na watu kama hawa wenye simu za raba bendi!
Mkuu ina maana kifaa cha electronic kinacho access information ni simu pekee? Tutajuaje labda anatumia PC, au IPAD etc.
Acha kukariri wewe, msukuma anatumia iPhone ya bei si chini ya milioni mbili.
Bangi Mbaya sana aiseeHabati za majukumu wanajamvi nmeona simu anayotumia Msukuma(mbunge wa Geita vijijini)nikasema ngoja tuone kwa pamoja na tujue maoni ya wengine...
Namnukuu
“Simu yangu naipenda sana maana ina historia kubwa sana na ikitokea imeharibika nitaiweka nitaiweka kwenye makumbusho" - Musukuma
Toa maoni yako
View attachment 786058
Pafu moja miaka sabaDuu aise haiishi haraka kichwani
Sasa kila siku anavuta hiyo akili lazima ikose akiliPafu moja miaka saba
Hivi huyu na yule Kibajaji nani akili yake ina afadhali?
Wote sawaHivi huyu na yule Kibajaji nani akili yake ina afadhali?
Majitu ya Kanda ya Ziwa ni mashirikina tu kuanzia Magusto hadi Bashite!Habati za majukumu wanajamvi nmeona simu anayotumia Msukuma(mbunge wa Geita vijijini)nikasema ngoja tuone kwa pamoja na tujue maoni ya wengine...
Namnukuu
“Simu yangu naipenda sana maana ina historia kubwa sana na ikitokea imeharibika nitaiweka nitaiweka kwenye makumbusho" - Musukuma
Toa maoni yako
View attachment 786058
Acha kuichafua Bangi mkuu.Bangi Mbaya sana aisee