Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,182
- 1,490
Duu aise haiishi haraka kichwaniJicho la bange hana jipya
Alafu hana hata aibu uyo jamaaDuu aise haiishi haraka kichwani
Kama ni mke lazima.awe mvumilivj na kupuuza maana ukimfuatilia huyo unawehukaAlafu hana hata aibu uyo jamaa
Usikute yeye na mke wake wote jauKama ni mke lazima.awe mvumilivj na kupuuza maana ukimfuatilia huyo unawehuka
Kama inatimiza mahitaji yake cha ajabu nini?
Alisimama Longido kipindi cha kampeni mbele ya wazee akawaambia ''King niko hapa, anayeweza kushindana na mimi ajaribu'' akamwita Dr Kiruswa akamwambia "Mimi ndio King, ukiona King kaja hapa ujue wewe ndio mbunge, hongera sana umeshashinda mimi ndio King" sasa mnashangaa anaking'ang'ania hicho kitochi huwezi juwa kinamsaidiaje bushitronically!Habati za majukumu wanajamvi nmeona simu anayotumia Msukuma(mbunge wa Geita vijijini)nikasema ngoja tuone kwa pamoja na tujue maoni ya wengine...
Namnukuu
“Simu yangu naipenda sana maana ina historia kubwa sana na ikitokea imeharibika nitaiweka nitaiweka kwenye makumbusho" - Musukuma
Toa maoni yako
View attachment 786058
Kama uliiona hiyo video vizuri, anayo smartphone nyingine nzuri tu, ila alisema hiyo hatupi ng'o!Cha ajabu ni kufunga rubber band kwenye simu, huyu mtu haoni umuhimu wa maintenance wala quality ya chochote...
...lami zikikongoroka atasema jazeni kifusi
...IV Fluids zikiisha mahospitalini atasema wapeni maji ya chumvi
.... wananchi wanakutumia picha na documents za vitu vinavyohitaji attention wewe una kitochi hakiwezi kuzifungua
... wananchi wake wenye TECNO za laki moja wako more informed na ulimwengu kwa vile huyu amepitwa na mapinduzi ya habari, hajui kinachoendelea nchini wala duniani kwa sababu anapata taarifa zake kwa kusubiri gazeti la kesho au taarifa ya TBC
Ndio upeo wake. Hatuwezi kupata maendeleo na watu kama hawa wenye simu za raba bendi!
Jamaa ni kichwa na ana upeo kuliko hata hao walioenda shule na ndio maana ni tajiri, tena tajiri haswa!Cha ajabu ni kufunga rubber band kwenye simu, huyu mtu haoni umuhimu wa maintenance wala quality ya chochote...