Mbunge mtarajiwa

Kingo Janta

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
319
Reaction score
263
Ipe maneno picha hii
 

Attachments

  • 1434091210443.jpg
    70 KB · Views: 651
Nani kati yetu hajawahi kulala kwny kochi au kiti nyumbani? Angekuwa eneo la kazi au bar tungeweza kumshangaa, ingawa kwa mwanaume kulala lala ovyo si sawa!
 
Heee Ameanza kumbonji Mapema Kiasi hiki.. Sipati picha Akiingia Mjengoni nahisi Atavunja Rekodi
 
Ha ha ha jamani hapo ni wakati wa msiba wa marehemu mkewe,hapo amejiraza kimajonzi,kule bungeni ndo Kuna mabingwa wa mbonji hasa,Mr Msindi hata kumi bora hakamati,namber moja ni Wassira Hana mpinzani...
 
RastaMan KayaMan" hz dream wen h woke up hz gona be in de parliament...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…