Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,387
- 18,198
Mbunge wa jimbo la Kisesa mkoani Simiyu ameendeleza tena moto wake wa kutoa hoja nzito nzito zenye masilahi mapana kwa taifa na safari hii akimbana kisawasawa waziri wa Kilimo mh Hussein Bashe kutokana na hoja zake za uongo zilizosababisha kuongezeka kwa bei ya mbolea huku akisingizia vita ya Ukraine wakati vita imeanza huku tayari mfuko wa mbolea unauzwa 130,000/=
