Ndugu yangu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 680
- 365
...ukweli Lema maneno yake yanaishi,trust me kauli hizi ni za kimapinduzi na ni nadra sana kupatikana na daima zitakumbukwa katika harakati za kuikomboa tanganyika...
Lema anatia aibu wana Arusha!!!
Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.
Lema anatia aibu wana Arusha!!!
Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.
sijakuelewaLema anatia aibu wana Arusha!!!
Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.
kwa iyo tukimchagua Lema tutakufa kama mlivyoua raiya wema pale Soweto??
samahani mkuu naomba utoe hoja, kwa lema ni lipi kosa la wana arusha
...kama walivyoachana na yule wa MBEYA (yule aliyetolewa mjengoni kama kiroba)....alipomkashifu waziri mkubwa...
bado ya ubakaji
Unasumbuliwa na tatizo la mnyauko na mpauko wa fikra,
Maneno yanayotia moyo na kuamsha hisia kali za kuendeleza mapambano
lema anatia aibu wana arusha!!!
Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; huyo lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.
Kabisa na mimba juu, kwa sasa ni shemeji yangu na huwa anakuja home tunamkopesha matumiziHivi kweli alimbaka dada yako? Pole sana!!
Endelea kuota ndoto za mchana tuu. ....magamba bwana mpaka hayo maneno ya mh.lema pia ni mwiba mchungu sana kwa magamba. .mbona mnaogopa mambo madogo?Lema anaongea maneno mengi sana ana copy kauli za kina Stiven Biko, hizi kauli wala hazina nafasi kwa sasa.