Mbunge Kyombo ziarani Kata ya Ishozi Kagera

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Florent Kyombo, tarehe 29 Julai, 2023 ameendelea na ziara ya Jimbo.

Katika ziara yake amehudhuria Mkutano wa ndani wa CCM Kata ya Ishozi na kugawa vitendea kazi kwa Viongozi wa CCM Kata ikiwemo Kalamu, Karatasi (Ream paper), Bendera za Chama, Sare za WanaChama kwa Viongozi wote wa Kata na Mipira ya Miguu kwa matawi yote katika kata ya Ishozi.

Mhe. Florent Kyombo amefanya Mkutano wa hadhara na kusikiliza kero za Wananchi wa Kata ya Ishozi.View attachment 2702722View attachment 2702723View attachment 2702724View attachment 2702726View attachment 2702725View attachment 2702727View attachment 2702728View attachment 2702729
IMG-20230730-WA0046.jpg
 
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Florent Kyombo, tarehe 29 Julai, 2023 ameendelea na ziara ya Jimbo.

Katika ziara yake amehudhuria Mkutano wa ndani wa CCM Kata ya Ishozi na kugawa vitendea kazi kwa Viongozi wa CCM Kata ikiwemo Kalamu, Karatasi (Ream paper), Bendera za Chama, Sare za WanaChama kwa Viongozi wote wa Kata na Mipira ya Miguu kwa matawi yote katika kata ya Ishozi.

Mhe. Florent Kyombo amefanya Mkutano wa hadhara na kusikiliza kero za Wananchi wa Kata ya Ishozi.View attachment 2702722View attachment 2702723View attachment 2702724View attachment 2702726View attachment 2702725View attachment 2702727View attachment 2702728View attachment 2702729View attachment 2702730
Uyu atapigwa kama ngoma 2025
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom