Mbunge Joseph Mbilinyi (Sugu) anena haya baada ya kuyaona alipokuwa gerezani

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
“Wafungwa waliopewa cheo cha unyampala ndio wanaoweza kupata chakula cha kutosheleza matumbo yao, wengine huishia kula kwa kunyang’anyana na mwenye nguvu ndiye anayekula, kwa kifupi mle ndani utemi tu bila utemi mzee hupati chakula,”-Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu"

chanzo:mwananchi.
 
Ukingia jela ukijulikana ni chichiem utakiona cha moto mbona utafurahi....

Ova
 
Nasikia yeye sugu alikuwa anajipendekeza kwa nyampala ndio akawa anapewa msosi wa kutosha.
 
“Wafungwa waliopewa cheo cha unyampala ndio wanaoweza kupata chakula cha kutosheleza matumbo yao, wengine huishia kula kwa kunyang’anyana na mwenye nguvu ndiye anayekula, kwa kifupi mle ndani utemi tu bila utemi mzee hupati chakula,”-Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu"

chanzo:mwananchi.
Huwa anajiita Sugu kaenda kukutana na ma Sugu original gerezani hadi anajiona yeye Sugu fake
 
Hahahaaa niko "mikononi mwa polisi maisha yangu bado ni mikosi itikia afandeee, sasa ule mwili kumbe mchumba Tu aaah ame niangusha sn kamanda
Hawa wasanii wanaojifanyaga wagumu ni softi sana.
Hata roma ktk mistari ni bpnge la baunsa kumbe puto tu likigusa ncha kali hamna kitu.
 
Back
Top Bottom