Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,728
- 2,259
je na yule mkapa aliyesema Watanzania ni wapumbavu vipi na nyumbuHii picha ni mithili ya Shetani kwenda kulalamika kwa Mungu, ati Malaika wanamwonea!!!
Katika gazeti la Majira , page 3.
Mbunge Sugu ameenda kulalamika kwa Askofu Chengula wa Kanisa la Katoliki, Mbeya.
Ati CCM inawaonea wabunge wa upinzani!!!!
Imekaaje wandugu?
Hii picha itaendelea kuhukumu dhamira ya uadilifu wa huyu mbunge Sugu.
Sugu kwa kweli ni JIPU kubwa la kisiasa kwa mkoa wa Mbeya.Sugu anabahati sana kwa sababu watu wa mbeya waliamua,iwe hivyo lakini nahesabu kama hawana uwakilishi kamili ula wanafanya sanaa
Hii picha ni mithili ya Shetani kwenda kulalamika kwa Mungu, ati Malaika wanamwonea!!!
Katika gazeti la Majira , page 3.
Mbunge Sugu ameenda kulalamika kwa Askofu Chengula wa Kanisa la Katoliki, Mbeya.
Ati CCM inawaonea wabunge wa upinzani!!!!
Imekaaje wandugu?
Hii picha itaendelea kuhukumu dhamira ya uadilifu wa huyu mbunge Sugu.
Kwa hii ID yake anaonesha ni wa hukohuko kwa Sugu, za kuambiwa changanya na zakoUsiwe mbaguzi sana. Tunaomba na kavideo ka peter serukamba wakati na yeye alivyotukana bungeni. Ili tuwpime wote maadili yao.
Mkapa hakukosea! maneno yake hayo wewe yanakuhusu moja kwa moja!je na yule mkapa aliyesema Watanzania ni wapumbavu vipi na nyumbu
Usiwe mbaguzi sana. Tunaomba na kavideo ka peter serukamba wakati na yeye alivyotukana bungeni. Ili tuwpime wote maadili yao.
Hata mm nawashangaa yani wanahukumu upande mmoja bila kusikiliza na upande wa pili.Wivu tu unawasumbua, hivi katika wabunge wooote zaidi ya 260 ni Sugu ndio mnamfahamu? Mnaangalia alipoangukia hamjihangaishi kujua alipojikwaa?
Sugu katuaibisha sana.Sugu anabahati sana kwa sababu watu wa mbeya waliamua,iwe hivyo lakini nahesabu kama hawana uwakilishi kamili ula wanafanya sanaa
Unaanza kusema"ATI"au ndiyo Nyie mko kundi lile la Yule aliyehojiwa na clouds.....Sugu kwa kweli ni JIPU kubwa la kisiasa kwa mkoa wa Mbeya.
mmmm!!!!! jasiri haachi asiliWivu tu unawasumbua, hivi katika wabunge wooote zaidi ya 260 ni Sugu ndio mnamfahamu? Mnaangalia alipoangukia hamjihangaishi kujua alipojikwaa?
Amen humu ndani kuna watu wanamfananisha Magufuli na Mungu eti wana muita Mtukufu rais,wakati hakuna mtukufu zaidi ya Mungu pia wanasema eti ikulu ni mahali patakatifu wakati duniani hakuna sehemu takatifu isipokuwa mbinguni.Nani unamfananisha na Mungu sasa, Mungu hafananishwi na chochote Kilicho chini ya mbingu
Kama kiswahili chako ni cha kulimia matuta unategemea nini?Unaanza kusema"ATI"au ndiyo Nyie mko kundi lile la Yule aliyehojiwa na clouds.....