Mbunge huyu hatufai

Mtoa mada umetoka kufufuka hujui ya duniani uliza kwanza.
 
Huyo ni ombaomba unadhani atakuwa amekuelewa?
 
...sitashangaa kama huyu sio mmoja wa waandishi wa habari, au sijui chama chao maana nimeona ktk moja ya blogu kuwa wanatarajia eti kuandamana na kumweka "kiti moto" mbunge huyu keshokutwa kutokana na malalamiko ya wananchi. Huyu anaweza kuwa yule njemba mmoja ambaye ni kiongozi wa chama hicho lkn fisadi na njaa sana na ni mtu wa kuomba -omba sana rushwa ! Huyu bila shaka ameanza kutumiwa na wale mafisadi pale mujini wanaojifanya ni makamanda wa magamba lkn majizi ! Mliopo huko bila shaka mnajua namuongelea nani, mchungeni hatari sana huyo K, macho paka kwa njaa zake huku akijifanya mwandishi bora !!
 
Mbunge wa Iringa mjini hafanyi kazi za wananchi kila siku anasema anafanya kazi za kitaifa sisi wananchi tulio mchagua tukiamini mageuzi inatufedhehesha.

Na ww umeingia humu/umebadili ID ili uweze kuleta uharo??? Kazi za mbunge unazifahamu????? Kwa kukusaidia, Kutunga sheria, Kusimamia na kuiwajibisha serikali, Je ni kweli Mchungaji Msigwa hafanyi hayo?????

I doubt your thinking ability.
 
Tehe tehe tehe teheeeee!
 
[h=3]elimu:

Msigwa akabidhi viti na meza kwa shule ya msingi sabasaba - iringa mjini.
[/h]

akikabidhi viti na meza kwa mwalimu mkuu wa shule hiyo.

sehemu ya viti na meza vilivyo kabidhiwa na mhe. Msigwa

msigwa akiwa na wanafunzi wa shule ya msingi ya saba saba iliyopo iringa mjini.​

michezo:

[h=3]MBUNGE WA JIMBO LA IRINGA MJINI MCHUNGAJI PETER MSIGWA AENDELEA AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO JIMBONI[/h]

Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akikabidhi vifaa vya michezo leo Mbunge Msigwa wa Chadema jimbo la Iringa mjini akionyesha vifaa ambavyo anakabidhi kwa ajili ya timu zinazoshiriki ligi ya wilaya ngazi ya taifa.
mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa akikabidhi vifaa vya michezo kwa viongozi wa timu zinazoshiriki ligi ya wilaya ngazi ya Taifa
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa amekabidhi vifaa mbali mbali vya michezo kwa timu zaidi ya 30 zinazoshiriki ligi ya wilaya ngazi ya Taifa.

mbunge wa iringa mjini hafanyi kazi za wananchi kila siku anasema anafanya kazi za kitaifa sisi wananchi tulio mchagua tukiamini mageuzi inatufedhehesha.
jf ni kisima cha burudani
 
Hiyo kazi ya yule mbunge wa ISIMILA pls DADA YETU CHIKU ABWAO mtoe huyo jamaa kama ulivyoahidi dada tafadhali sana kamata makamanda wa kulinda kura hapo ISIMILA sisi tupo mbali sana na bado tunampigania kamanda LEMA sana tu JAPO MAGAMBA wameanza kununua SHAHADA but hatujali kwani twajua wanajiibia wenyewe tu kula Kwa MAGAMBA kulala KWA MAKAMANDA
 
Mbunge wa Iringa mjini hafanyi kazi za wananchi kila siku anasema anafanya kazi za kitaifa sisi wananchi tulio mchagua tukiamini mageuzi inatufedhehesha.
Nenda kachukue maelezo vizuri kwa aliyekutuma inawezekana ulikuwa unawaza malipo zaidi kuliko kazi. Msaada alioutoa iringa hata rais hawezi kuutoa.
 
Huyu bwama amewakosea watanzania, kimsingi angewaomba radhi, tunatambua mchango wa wabunge wa CDM kwa taifa letu likiwemo hilo jimbo.
 
Mbunge wa Iringa mjini hafanyi kazi za wananchi kila siku anasema anafanya kazi za kitaifa sisi wananchi tulio mchagua tukiamini mageuzi inatufedhehesha.

wakunguni: tolea ushaidi maneno yako. Ati kasema anamajukumu ya kitaifa? Wapi na lini aliyasema maneno hayo? Nani amekuloga wewe kuandika uquzi huu hapa? Kila neno unalolisema utatoa hesabu yake siku ya kiyama.
 
Mbunge wa Iringa mjini hafanyi kazi za wananchi kila siku anasema anafanya kazi za kitaifa sisi wananchi tulio mchagua tukiamini mageuzi inatufedhehesha.

Usituletee u GAMBA wako hapa! nenda kaulizie wenzio wa Iringa
 
Mbunge wa Iringa mjini hafanyi kazi za wananchi kila siku anasema anafanya kazi za kitaifa sisi wananchi tulio mchagua tukiamini mageuzi inatufedhehesha.

wapi wambuni? kaingia mitini, kweli GT ni moto wa kuotea mbali. lakini umeingia na strategy poa sana. umepata reply za kutosha na shule juu!! hiyo mipicha kede kede ya ushahidi nakushauri ukaweke ktk frames na utundike chumbani kwako kwa ukumbusho tu.
JF kuna silaha za maangamizi. usipokuwa na data ndugu yangu unatolewa wenge.
leta nyingine
 
umetumia nyundo kuua mbu.
umemuumbua sana mleta mada.
 
Mbunge wa Iringa mjini hafanyi kazi za wananchi kila siku anasema anafanya kazi za kitaifa sisi wananchi tulio mchagua tukiamini mageuzi inatufedhehesha.

YAANI WE DOGO WA JANVINI NI NG'OMBE KABISA. HAPA HATUPENDI MAJUNGU NENDA CCM KAPIGE UMBEYA NA LUKUVI HUKO. ANGALIA USHAHIDI HAPO CHNI WA PICHA MCHUNGAJI AKIONESHA UJUZI WA KUSETI VITANDA KWA UMEME. KWANZA HUMU JAMVINI TOKA KABISA TAFUTA TOVUTI YA MAGAMBA UJIUNGE NAYO HUKO NDO LESS THINKERS, HAPA NI HOUSE OF GREAT THINKERS.:A S-fire1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…