King Leopold II
Member
- Aug 20, 2014
- 56
- 102
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Askari Polisi walivamia nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema alfajiri ya leo na kumkamata.
Hivi sasa yupo central police ya Arusha.
Sababu za kukamatwa kwake haijajulikana bado....
Tutawajuza kila kitakachokuwa kinajiri
=======
UPDATES;
Polisi Arusha imesema inaendelea kumshikilia Mbunge Lema na baada ya upelelezi kukamilika watampeleka Mahakamani.