Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,183
- 2,100
"Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko.
"Lazima tukatae, tukiendelea kujua kwamba sisi sote ni Watoto wa mama Afrika Mashariki, mamlaka za nchi ya Tanzania na mamlaka za nchi jirani, ambapo nimeona, sijaona nchi jirani mamlaka zake zikikemea hili. Mshirikiane, mambo ya ndani ya hapa idara ya mawasiliano na kule Kenya, tuwakamate hawa Gen-Z wa kule
Credits: The Chanzo