Mtanzania Mzawa
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 401
- 405
Kwa mtoto namlaumu ajitaidi kutoa huduma kwa mtoto...dah ila mke wake amsamehe tu cz ata hao marafiki alipitiwa ila anaonekana anampenda mkewe. ..na kama ni mtaka jimbo anamchafua. ..hiyo ni sifa ya mwanaume si kashfa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app