Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Jamaa anajua kuchagua kweli kweli aiseee....Angalia iko chombo kilichovaa gauni la blue aiseee unaweza ukaonga laki
 
Alivyozaa na mume wa mwenzie hakujua kama mkewe itamuuma? Amkatae hivo hivo akome, mume wa mtu mtamu ila usimzaliee...kwake akimbie mikojo na kelele za watoto, na kwako tena yaleyale atapeperuka tu
Hapo sasa..mwenyewe nimeshangaa sana..huyo Nicole wakati anamkatia miuno mbunge mpk kubeba mimba alikua hajui km ni mume wa mtu..aachr kulalamika..na bado watabwagwa sana...mali ya watu hiyo..mwsho wa siku anarudi kwa mkewe maisha yanasonga..
WANAWAKE TUACHE UBINAFSI...akome nyoko nyoko zake...yamemkuta
 
Jamaa ana mke mzuri alafu katafuta tena mchepuko wa nguvu dah. Hela za ubunge hizo , wabunge acheni uhuni wasaidieni wananchi wenu. Hope you got me concubines monger.
 
Ubaya huko wapi hapo?
Mbona haya wanaume wengi tunayafanya sema kutokuwa maarufu ndio kunatusaidia siri zetu zisibumbuluke.

Huyo kwingu sema tatizo lake umaarufu ila Mimi sijaona kama tatizo sana kwa anayoyafanya ukizingatia bado "kijana".

Labda kama wewe ni mke wake umeumia.
Sasa Mtoto kama huyo mwenye gauni la bluu unamuachaje kwa mfano?
Unafiki pia umetujaa mkuu. Lakini ni kweli usemacho, ikitokea mambo ya kila mwenye ndoa yadhihirike hakuna atakayebaki salama. Mimi bado natafuta ukweli huko kwenye Theology kama ni kweli Muumba aliagiza wengine waoe mke mmoja pekee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nicole tubu usamehewe na mungu na unafki wa kuumia uache mshahara we dhambi ni mauti unajua na ilikua unajua mumewamtu anamadhara,hawezi muacha mkewe shogazako wamekudamganya,mchepukosiku zote nisawasawa na shimo umeshadumbukia shimoni rudi kanisani kiukweli tubu kwakumaanisha ,usilielie insta every thing is wat u deserve day goes around ndio hiyo mama it's ur turn now lea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sasa..mwenyewe nimeshangaa sana..huyo Nicole wakati anamkatia miuno mbunge mpk kubeba mimba alikua hajui km ni mume wa mtu..aachr kulalamika..na bado watabwagwa sana...mali ya watu hiyo..mwsho wa siku anarudi kwa mkewe maisha yanasonga..
WANAWAKE TUACHE UBINAFSI...akome nyoko nyoko zake...yamemkuta
Wanawake tunatakiwa tujue tukiamua kuzaa watoto ni jukumu letu na si la mume. Mwanaume akihudumia mtoto tumshukuru aliye juu. Sasa mtu ana watoto home na mkewe wa ndoa, bidada alifikiri yeye akizaa naye atakuwa na watoto gani special hadi amuache mkewe akamuoe yeye? Wnaume siyo walezi jamani. Tena kwa usawa huu wa Ngosha ambao kuwa na mademu wengi hailipi kama zamani, hakuna wanaume waleaji watoto.
 
Hawa wote ni wanaonekana ni wauza K waliokubuhu hapa town! Ukiona mwanamke anaenda China Mara kwa Mara afu anamiliki boutique ujue ni asilimia kubwa ni muuza K na hiyo biashara ni zuga tuu!
 
Wanasiasa wengi TZ hawaheshimu kabisa familia zao...Mfano huyu Emmanuel Kingu, ana ndoa lakini bado ana michepuko kibao akiwemo Miss Shinyanga 2014, Nicole Franklin ambaye katika video hii anaongea proudly kabisa kwamba Kingu ndiye Baba mtoto wake, pamoja na kujifanya anamhurumia mke wa Kingu...wacha Trump awaite shitholes
 
Back
Top Bottom