PreGE2025 Mbunge Dkt. Florence Samizi ashauri viwanda vya mbolea vipatiwe Ruzuku

PreGE2025 Mbunge Dkt. Florence Samizi ashauri viwanda vya mbolea vipatiwe Ruzuku

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,428
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe lililopo mkoani Kigoma Dkt. Florence Samizi ameishauri Serikali kuvipatia fedha za ruzuku kwa wakati viwanda vya mbolea ili mbolea ifike kwa wakulima ikiwa tayari ina ruzuku, hali itakayovisaidia viwanda hivyo kujijengea uwezo wa kujiendesha na kuzalisha zaidi ajira kwa vijana.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa fedha 2025/2026 bungeni Jijini Dodoma Mei 22, 2025, Dkt. Samizi ameongeza kuwa viwanda hivyo vikiimarika vitaweza kuuza mbolea hata nje ya nchi.

 
Back
Top Bottom