Mbunge: Dagaa wa Kigoma waitwe Dagaa wa Ziwa Tanganyika kulitangaza ziwa

Ndio maana Wananchi sasa hivi hatupendi kufuatilia bunge.
 
Sawa basi! somehow tunaelewana. Na bila shaka utakubaliana nami kuwa wanaitwa dagaa wa kigoma kwani wanavuliwa kigoma kwenye ziwa Tanganyika na wanaitwa dagaa wa mwanza coz wanavuliwa mwanza kwenye ziwa Victoria. Anyway nadhan tupo tupo pamoja ndamu wangu!
 
Ndo wabunge wetu hao
Hakuna namna Tuwavumilie tuu.

Ila kigezo Cha mbunge kuwa na degree inatakiwa kitumike labda tutapunguza mawazo Kama haya bungeni
Haisàidii, Kuna mbunge professor alisema katoka jalalani.
 
Mazuzu wamevimbiwa tozo. Sasa wanaanza kuropoka tu.
Dagaa wa Kigoma kwani wanatoka wapi? Huyo zuzu anatakiwa achapwe viboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…