Nimewachoka hawa wabunge na kelele zao za posho! Kama wanaona wanaishi maisha magumu si wajitoe katika siasa? Nani anaishi maisha mazuri hapa! Kila mtu anapambana kadri awezavyo katika hali hii ngumu ya maisha. Wengine tuko ofisini mpaka saa 2 usiku mbona hatumpigii mtu kelele? Aghaaaaa!
Huyu Mbunge anaenda nje ya msimamo wa CDM wa kufuta posho. Penye red wananikumbusha tabia ya wabunge wa CDM kususia vikao vya bunge
This is a joke ...right?
haijalishi kama amesema au hajasema yeye huyo mbunge. Matazamo wangu kwa wabunge ni kuwa ni kazi ambayo inalipa sana kuliko hata kazi nyingine au kwenye sekta nyingine 2meona au 2naona jinsi watendaji mbalimbali wakurugenzi,wakuu wa mikoa,wahadhiri na watendaji wengi sana ama walijaribu na wengine wamethubutu kuacha kazi kusudi wagombee ubunge,WABUNGEwengine kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu walithubutu kulalamika kuwa kuna watu wanajipitisha kwenye 'majimbo yao'.SWALI je ubunge haulipi? NA KAMA HAULIPI
{1} KWA NINI WENGI WAO WANAACHA TAALUMA ZAO NA WANAKIMBILIA HUKO ?
{2}MBONA HAWAJIUZULU AU KUACHA KAZI HIYO KAMA MASLAHI MADOGO?
{3}KWA NINI KIPINDI CHA UCHAGUZI WANATUMIA PESA NYINGI SANA KWA TAKRIMA NA RUSHWA? .
Kwenye msafara wa mamaba na KENGE wamo,huyu Malack huenda ni KENGE tafakari.......!
Shibuda kazini siyo issue, kuta ni kitu yake shibuda bungeni. Ok yupo cdm kweli lakini jina lenyewe ndio leo nalisikia. Hivi huyu alishawahi hata kuuliza swali kweli? Mwenye picha yake aiweke tafadhali. Tuwajue hawa walafi.
leo naona mashabiki wa cdm wamelowa jasho kweli hata sizioni coment za kutapika na mizaa
Chadema Hoyee!! Piipoozz powaaa!! Mpaka kieleweke
Duh hii kali laiti angekuwa mbunge wa chama kingine tofauti na magwanda thread ingekuwa inakimbilia page ya 10 ahaaa aaa.
Duh hii kali laiti angekuwa mbunge wa chama kingine tofauti na magwanda thread ingekuwa inakimbilia page ya 10 ahaaa aaa.
Mkuu Ngongo,
Hii funga kazi aisee! Ha! Ha! Ha! Makamanda wote wa sinema za kihindi hawaonekani kwenye hii thread.
kwani sio gazeti ,ikiwa mtu amesema sio kweli send to court ,huyu naye Mbunge mbona yuko mbali na habari kama amesemwa let her respond ili case iwe closed.Habari leo hoyeeeee.Jambo leo hoyeeeeeeee
Mkuu Ngongo,
Hii funga kazi aisee! Ha! Ha! Ha! Makamanda wote wa sinema za kihindi hawaonekani kwenye hii thread.
kwani sio gazeti ,ikiwa mtu amesema sio kweli send to court ,huyu naye Mbunge mbona yuko mbali na habari kama amesemwa let her respond ili case iwe closed.
ka maisha yamekua magumu kani lazima kua mbunge si atafute shughuli nyingine ya kufanya awaache wataoweza kuvumilia hicho hicho kipato.
masaburi at work