Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,387
- 10,965
Kwa hiyo akili yako imekuaminisha mimi ni mchaga!!!Sasa kama wachaga mnashabikia ukabila utegemee mchaga Kiwia apate
Watu kama wewe ndiyo mtaji wa CCM. I feel sorry for you.
Kwa hiyo akili yako imekuaminisha mimi ni mchaga!!!Sasa kama wachaga mnashabikia ukabila utegemee mchaga Kiwia apate
Ubunge na U RC kipi kinalipa ?Mrisho Gambo amejipanga kugombea nimbo la Arusha kwa kuwa ni mkazi wa Muriet..
No, hakuanza kuishi hapo akiwa AIA, nakumbuka tukisoma tuition tukiwa advance miaka ya 2002/04, alikuwa akiishi Arusha,Kwani kupata ubunge ARUSHA ni kama kuvua chupi???? Kama mnataka kumlia pesa yake kama mlivyomfilisi Batilda Sawa .... tena batilda msomi na kweli mwana Arusha kakulia daraja mbili hakupata tena na pesa alikuwa nayo huwezi kumlinganisha na mdangaji
Huyo Mkuu wa Mkoa sijui nani kuwa na hilo banda lake la mbuzi hapo Muriet naye anataka kusema Ana nyumba ? Ndio Kaishi ARUSHA toka anasoma hapo ACCOUNTANCY Lakini ubunge hapana
Kwani Ilala anakimbia nani na Zungu huenda asihombeee na anajinasibu yeye mtoto wa mama muuza uji kariakoo na chapati anajua kula aende Ilala au kwao Kigoma ushauri tu
Umesikika mkuuHuyu mbunge wa viti maalumu Catherine Magige CCM amekuwa msaada mkubwa sana wa kuwasemea wana A town katika kushughulika na kero zao. Ikumbukwe pia mbunge Lema amekuwa akijihusisha zaidi na mambo ya chama chake na hivyo kulisahau jimbo........Naomba niishie hapo!