thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,116
Hakika anafaa sana,
Kwa kua muda bado lolote laweza kujitokeza ,tuwe na subra!
Kwa kua muda bado lolote laweza kujitokeza ,tuwe na subra!
mbona povu?Kwani kupata ubunge ARUSHA ni kama kuvua chupi???? Kama mnataka kumlia pesa yake kama mlivyomfilisi Batilda Sawa .... tena batilda msomi na kweli mwana Arusha kakulia daraja mbili hakupata tena na pesa alikuwa nayo huwezi kumlinganisha na mdangaji
Huyo Mkuu wa Mkoa sijui nani kuwa na hilo banda lake la mbuzi hapo Muriet naye anataka kusema Ana nyumba ? Ndio Kaishi ARUSHA toka anasoma hapo ACCOUNTANCY Lakini ubunge hapana
Kwani Ilala anakimbia nani na Zungu huenda asihombeee na anajinasibu yeye mtoto wa mama muuza uji kariakoo na chapati anajua kula aende Ilala au kwao Kigoma ushauri tu
Sakaya [emoji16]au?Na Tabora!
Jimbo liko wazi mkuu!Hongera mama Catherine
Lakini Wenje alishinda kumbuka. Tena licha ya hiyo agenda ya uzawa, ambayo CCM waliitumia.Naweza kukubaliana na wewe kuwa pengine kulikuwa na ajenda ovu
Ila mi nakumbuka hata watu walikuwa wana mwambia wenje abadilishe jimbo kwa nyamagana hata rudi.na hata kabla ya wenje jamaa walikuwa wana pokezaba hvo hvo
Sijajua ila naamini Wenje alikuwa anashindwa hata kwa kura moja tuu.Lakini Wenje alishinda kumbuka. Tena licha ya hiyo agenda ya uzawa, ambayo CCM waliitumia.
Walipokezana watu wa CCM, wakati upinzani haujawa na nguvu sana.
Ndiyo, mwakasaka ni pambo la ndani. wanyamwezi sijui walimuokota wapi?Tabora mjini?
Vipi Diallo alihudumu vipindi vingapi?Tukiongelea majimbo ya watu wanao jitambua, na awaangalii umaarufu wa mtu wanachotaka ingia tekeleza ahadi na wabunge wengi toka uhuru, hata wakati wa chama kimoja hadi vyama vingi ni Mwanza, yaani majimbo ya Nyamagana na Ilemela peke yake mbunge hudumu kipindi kimoja tu. Haijawahi tokea mbunge kukaa zaidi ya muhula mmoja. Masha na Wenje walisema wangevunja hilo lakini walishindwa. Hivyo Arusha kujisifia ni wajanja sidhani wamekaa kishabiki badala ya kuangalia mbunge kafanya nini. Ok Lema Arusha ni yako tena.
Huyu mbunge wa viti maalumu Catherine Magige CCM amekuwa msaada mkubwa sana wa kuwasemea wana A town katika kushughulika na kero zao. Ikumbukwe pia mbunge Lema amekuwa akijihusisha zaidi na mambo ya chama chake na hivyo kulisahau jimbo........Naomba niishie hapo!
Sasa kama wachaga mnashabikia ukabila utegemee mchaga Kiwia apateKwa Mwanza, kama isingekuwa agenda ovu ya uzawa, na uchakachuaji, basi Wenje na Kiwia wangerudi. Na kwa agenda ya uzawa bado kuendelea kutumiwa, basi Mabula na Mabula watarudi tena, wakisaidiwa na ukaribu wao wa mfalme ****.
Huyo muuza mbunye maarufu dom,hajawahi hata siku moja kuchangia hoja zaidi ya kushinda kupigwa jiti,apambane anaweza kua mbunge wa jengo la ccm mkoa arushaHuyu mbunge wa viti maalumu Catherine Magige CCM amekuwa msaada mkubwa sana wa kuwasemea wana A town katika kushughulika na kero zao. Ikumbukwe pia mbunge Lema amekuwa akijihusisha zaidi na mambo ya chama chake na hivyo kulisahau jimbo........Naomba niishie hapo!
Habari kamili ndio muuzaji maarufu dom huwa wabungeni wanaponea hapo kwa mama huruma wetu,ccm hoyeeeHuyu mwanamke kichwani mweupe zaidi ya Kagasheki na kumsifia Magufuli hajui lingine lolote
Umewahi kumsikia bungeni akisema lolote la maana?