Mbunge Captain John Komba bado ni shida!

Mbunge Captain John Komba bado ni shida!

Ajenge miundo mbinu ya nini wakati yeye anataka kujihamishia makazi msituni??
 
Ameanza kufanya survey ya msitu atakaoingia zikiundwa serikali tatu!
 
Mi nilijua Komba ni darasa la 7,kumbe msomi kabisa!

Hivi hiyo BA (Political) 2006 - 2008 aliifanya kwa njia gani wakati yeye ni mbunge toka 2005 - 2015?!

Halafu shahada BA (Political) haipo! Labda kama ana maana Political Science..
 
Nilimuliza rafiki yangu Mapunda eti "Komba" jina lina maana gani? Akasema ni mnyama,nikamuuliza huyo mnyama huwa anafugwa akasema hapana,hafugiki,nikawaza huenda jina walilompa j.komba ndiyo linamtesa ndiyo maana kila akiwaza anatamani kwenda msituni sababu ndiko komba wanakozaliwa,wanako kulia na kuishi maisha yao yote!

Mkuu nimecheka saana!
 
Huyo Mnyama Komba anapatikana sana Pwani hususani pale penye Minazi Mingi ,huyo Mnyama hupendelea Kunywa Pombe ya Mnazi akishiba husinzia na kuanguka Chini .

Siyo akishiba kaka ,akilewa,maana pombe hushibi bali unalewa.
 
Mbunge wa mbinga magharib bado anaendeleza siasa zake kupitia makanisa mbalimbali yaliyoko jimbon mwake, moja ya mambo anayoyaongea akiwa ndani ya makanisa anayopita ni km yafutayo:
"....,ndugu zangun muda si mrefu humu kanisan nitawaletea kipaza sauti, kinanda pamoja na mishumaa..."

hafu huyu mbunge anatembeleaga kanisa moja tu na siyo mathehebu yote au dini zote..sasa najiuliza hicho kipaza sauti, kinanda na mishumaa kitamsaidia nn mkulima,kitamsaidia nn mfanyabiashara, kitamsaidia nn mvuvi, kitamsaidia vp mwanafunzi, yatima & mjane?..
kwa nn asiboreshe miundombinu ambayo itamsaidia kila mwananch!

SINA UHAKIKA NA ELIMU YAKE! Nawasilisha

Vitawasaidia kufika mbinguni mkuu...
 
aaaah, huyo ni mzigo tena wa maembe.Huenda hilo kanisa limemuhakikishia kuenda nae msituni:frusty:
 
Ajenge miundo mbinu ya nini wakati yeye anataka kujihamishia makazi msituni??
<br>
huyo alimaanisha kwenda msituni kunya iwapo kinyesi kitambana. tatizo letu hatuangalii mambo kwenye three dimensions.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom