Mbunge Azan kwenye mashindano ya kiduku

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,113
16,025
washindi.jpg 17.jpg
hivi hawa waheshimiwa huwa wanakosa kazi??we mbunge mzima unaenda kuhudhuria na kukabidhi taji watoto wa kiume wanaonyonga viuno km mashoga kwa dola 250,inaingia akilini kweli?ningemshauri huyu jamaa akazane kutembelea hata wadi za wagonjwa na mambo mengine kuliko upuuzi huu,lakini sishangai km rais mwenyewe anaenda kusimama na wachina kwaajili ya msaada wa yebo yebo na baskeli shang sheng mbunge atafanyaje?ndo viongozi wetu hawa.
 
kwakweli sina hakika kama viongozi wetu wanajua uongozi ni nini naona wanachukulia ni kama suala jepesi jepesi..kwa kiongozi kutoa zawadi katika tafrija yeyote ni kutoa hamasa kwa mpewaji wa tuzo na vizazi vijacho sasa hapo ndo utajiuliza kwa hayo ya ukataji viuno kwa watoto wa kiume unawaambia nini watoto wadogo?ni aibu!ashakum si matusi ila kiduku ni uchezaji ambao ili upatie lazima makalio uyabinue kwa nyuma ili kishtobe kionekane.ila kwa huyu mbunge sishangai kwani hata elimu yale ni utata yawezekana hata yeye siku hiyo alicheza kiduku kuhamasisha hadhira
 
Raha jipatie mwenyewe na usingoje mrema akuletee!Hawa vijana ambao wengi ni wasio na ajira rasmi ndio wapiga kura wa mh.mbunge hivyo anayo haki ya kuungana nao kama alivyoahidi katika kampeni zake za uchaguzi.Nyie mnaokwenda Bilcanas endeleeni na hao wanaotazama Kiduku na mnanda ndio starehe yao,kila mtu ana haki ya kupata japo starehe kiduchu
 
kwakweli sina hakika kama viongozi wetu wanajua uongozi ni nini naona wanachukulia ni kama suala jepesi jepesi..kwa kiongozi kutoa zawadi katika tafrija yeyote ni kutoa hamasa kwa mpewaji wa tuzo na vizazi vijacho sasa hapo ndo utajiuliza kwa hayo ya ukataji viuno kwa watoto wa kiume unawaambia nini watoto wadogo?ni aibu!ashakum si matusi ila kiduku ni uchezaji ambao ili upatie lazima makalio uyabinue kwa nyuma ili kishtobe kionekane.ila kwa huyu mbunge sishangai kwani hata elimu yale ni utata yawezekana hata yeye siku hiyo alicheza kiduku kuhamasisha hadhira

Viongozi Tanzania maisha kama Big G vile. Hapo mwenzio tayari ana kura kadhaa aanze kuhangangaika mahospitalini na kuumiza kichwa kwa shida zenu hayamhusu. Raha jipe mwenyewe.
 
Ndugu yangu upuuzi wa aina hiyo na mizaha ndio mtaji mkubwa wa CCM.. kwa kuwa wapiga kura wao wengi ni aina hiyo pia.
 
sitashangaa baada ya muda mfupi vijana wote mashuleni watakuwa mabwabwa kama viongozi wataendelea kusuport mambo kama haya badala ya kukemea,dola 250 ni sawa na 270000,kwa watoto sita kugawanya ni kila mmoja anaondoka na 65,000 tu.baada ya mashindano yooote hayo,haya wahudhuriaji pale najua ni mamende tu wa magomeni na kariakoo,hao mayanki watapona kweli?maana wakihongwa elfu ishirini tu wataenda kutoa **** usiku kucha na njaa zao,na mbunge kahalalalisha.
 
jamani..............

nimechoshwa na viongoziwa taifa hili
 
Back
Top Bottom