Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,499
Wakuu mnakumbuka hoja ilipowasilishwa bungeni ili kujadili kuhusu masuala ya usalama nchini na utekaji uliokithiri mpaka kusababisha kifo cha Ali Kibao? Nini kilitokea?
Tulia alishupaza shingo, utekaji likawa jambo la kipuuzi, ambalo halifai kwenda kwa hati ya dharura, halafu hapa kila mbunge akiamka anakenua meno Simba Simba!
Soma, Pia: Spika Dkt. Tulia na Wabunge wa CCM wagomea hoja ya watu kutekwa na kuuawa kujadiliwa. Wananchi Tuwaambie "YOU ARE FIRED"
Wabunge ni kweli mpo bungeni kutuwalisha sisi pamoja na maslahi yetu? Tunakatwa hela kila siku afu anakuja mpuuzi mwanzo mwisho kumsifia rais, na kuongea mambo ambayo hayana maana.
Mimi ni shabiki wa Simba lakini huu ni upuuzi na upumbavu wa kiwango cha lami.
====
Mbunge awasilisha hoja ya dharula kwa Naibu Spika, Mussa Zungu, kwamba bunge lisimame kujadilidili penati za Simba.