JICHO LA WAZAWA
Member
- Jan 2, 2013
- 16
- 3
kwani wewe mbunge tajwa hapo juu una uhusiano naye?je?yaliyosemwa ni uongo? kama ni kweli unadhani ni sahihi kwa kiongozi mkubwa kama mbunge kuwa na tabia kama hiyo?any way; hata hivyo mleta taarifa anatakiwa athibitishe ukweli wa taarifa yake.siku hizi hakuna tena maliwato za bure umeona uje kujisaidia humu jf.
Mbunge wa jimbo la rombo (chadema)joseph selasini amehamua kupangisha nyumba na kabinti kadogo (jina tunalo)mwanafuzni wa cuo cha uuguzi huruma kweli maendeleo ndio haya wabunge wengine waige
Taarifa za kuaminika toka katika familia ya mbunge huyo zinadai kuwa alifukuzwa nyumbani toka alipofiwa na wazazi wake na hapo ndipo ndugu zake walimuamuru aache kutinda nyusi na kufanya scrub na facial badala yake atafute eneo ajenge kwake lakini kwa sasa ameshaanza kujenga ila sijui kwa kuwa ana wivu sana na mpenzi wake huyo mpya kwani yupo naye (gheto)muda mwingi
Taarifa kutoka kiliwater kwa mfanyakzi mmoja ambaye ni diwani wa halamshauri hiyo amemlaumu mbunge huo kwa kubwatuka bungeni kwa kuwa mdomo haulipiwi kodi na kulalamika kuwa hamna maji ya kiliwater wakati yeye aliomba kama mtu wa kawaida na hivyo asingepaswa kutumia muda huo bungeni kwa ajili ya maslahi yake binafsi
"Ila namshukuru sana kwa ujinga anaofanya huku rombo siku zake zinahesabika na hao mabinti wa watu wanapoteza muda wao bila kujijua"alisema diwani huyo huku akiwa amelewa chakari na chupa yake ya bia ya Kilimanjaro.
Jicho la wazawa linatoa maoni kuwa mbunge selasini sio maarufu kama anavyofikiria ila afanye majukumu yake kama alivyowaahidi wananchi wa jimbo la rombo na sio kupenda kuandikwa kila kukicha kwenye vyombo vya habari
Kuonyesha udhaifu ulio nao sio tu katika jimbo bali hata katika chama na ngazi ya kitaifa ulivuliwa nafasi yako ya uwaziri kivuli wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa hiyo ni sehemu ya cv yako kushuka wananchi wa rombo na wanachama walitarajia mambo mengi sana kutoka kwako lakini imekuwa ni tofauti sasa umeonekna kana kwamba ni gamba la rombo kama ulivyobatizwa
Plz jitahidi tafadhari

msimbeze ,mleta mada,kama habari ni za kweli ana haki ya kusema
Mamndenyi kwani wee hujui Mungu alipochoka kuumba akaanza kusinzia, badala ya kuchukua udongo, akachukua kinyesi cha nguruwe na kuwaumbia baadhi ya watu.siku hizi hakuna tena maliwato za bure umeona uje kujisaidia humu jf.
mamndenyi kwani wee hujui mungu alipochoka kuumba akaanza kusinzia, badala ya kuchukua udongo, akachukua kinyesi cha nguruwe na kuwaumbia baadhi ya watu.
Kwa hiyo no need to ask complex questions kwa watu wa aina hiyo.
Mamndenyi kwani wee hujui Mungu alipochoka kuumba akaanza kusinzia, badala ya kuchukua udongo, akachukua kinyesi cha nguruwe na kuwaumbia baadhi ya watu.
Kwa hiyo no need to ask complex questions kwa watu wa aina hiyo.
Bora umesema mkuu! Watu ni kupost uharo hapa daily kuhusu mh mbunge! Kila ciku tupo naye jimboni anapiga kazi bt uzushi juu yake hauishi tuu!Kashamaliza kujenga mkuu alihamia siku ya Xmass maana kwake amewekeana mpaka na Kinapa pamoja na kaka yake Lamwai, sema watu wanamzushia mambo mengi sana ya uongo