Si ashtaki Tanzania huyu nae gamba kama mama Rwakatale aliyeshtaki jamii forum bungeni
Kwani huna kesi za ukweli huko Maryland?
Ulitaka ufafanuzi gani zaidi ya hiyo statement?
Ribosome
Pengine huelewi kingereza.Mwambie mtu anayejua kiingereza akufanyie tafsiri maana press release iliyotolewa imefafanua kila kitu. Pengine hawezi kwenda deep zaidi kwa kuwa swala liko chini ya upelelezi. Si unajua tena Marekani huwezi ukapublish tangazo la uongo kusingizia law enforcement wanamshikilia mtu na pia ukaweka account number ukiwataka watu wapeleke pesa kwenye hiyo account.Hiyo ni scam, endapo watuhumiwa watanaswa, they will be in big shit!