Mbunge ashitaki/aripoti wana/mwana Jamiiforums ...

mzurimie

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,143
3,622
May 18, 2012 | By Leticia Nyerere


VICIOUS SCAM and FALSE ARREST

It is my responsibility to clarify to my Supporters and valuable people of Tanzania in Diaspora and at home of a recent vicious attack labeled on me. My name was scandalized, assassinated and used by scam artist with the intention to reap off honest citizens of Tanzania in Diaspora, and in Tanzania. This false article was published in Jamii Forum, a social media for Tanzanian community on May 14, 2012.

I should also inform you that I have reported this scam and character assassination to the appropriate U S authority and investigation is on the way.

All these were due to a trumped up and unfounded charges labeled on me falsely. I expect these charges to be cleared by this press release.


I am using this opportunity to invite you to a live forum during the inauguration of our Party (CHADEMA) in Maryland, USA on May 27, 2012.


I can be reached at leticianyerere@rocketmail.com

source: vijimambo blog.

Mimi ???
Mbona sioni hiyo post humu?

Kwani huyu mama anaishi wapi hadi aripoti USA? na forum hii ni ya m/watanzania nadhani kila kitu kina run toka Tanzania au?


 
Si ashtaki Tanzania huyu nae gamba kama mama Rwakatale aliyeshtaki jamii forum bungeni
 
Mi nadhani, kitu cha msingi hapa ni kujiangali yanayosemwa kama ni ya kweli ajirekebishe kama siyo ya kweli atoe ufafanuzi wenye mapenzi mema watamwelewa.
 
Sasa huyu mama hana political tolerance kama mama rwakatale, anavyofanya anatuaibisha wanaCDM kwani sifa ya kiongozi ni kuacept challenge sasa kama ndo tutakuwa na viongozi wa namna hii basi hatutafika. Pia kama ni hvi hata wakina zitto na slaa ambao huwa wanachafuliwa humu mbona huwa wanavumilia 2.
 
ni kweli kuna mwanajf anasema anaishi usa alitoa hapa taarifa kwamba leticia Nyerere anatafutwa kwa kuvunja sheria. na kwamba anadai deni la $15000 sijui na nani so kashitakiwa hivyo alikua akiomba tumchangie leticia. Lakini ilifutwa baada ya kuonekana ni uzushi nafikiri.
 
mimi uwa napata ugumu na tatzo nikisikia cdm ktk nchi ya marekani au tawi la ccm marekani,huu ni usanii mtupu! Wanataka waishi uko ila warudi Tanzania kutawala kisiasa! Iyo haipendezi hata kidogo. Politics of the state should not be out of the state!
 
nadhani hapa huyu Leticia ndio amekosea amejuaje aliyeleta comment ni scam artist na sio third party aliyesikia habari akataka clarification?

Unajua dawa ya kumaliza uongo ni clarification ya ukweli ni nini na sio name calling and calling people scam artists.., as a public figure its normal for your life to be put in a microscope na dawa sio kukimbilia sheria na kulia kwamba am being attacked dawa ni kuonyesha pumba na mchele ni nini ? (unless otherwise ataonekana anaficha kitu)
 
Ukiwa mwanasiasa unatakiwa uwe na ngozi ngumu siyo ukiguswa kidogo tu unapiga mayowe. Sasa kama anafungua kesi ina maana kama ilivyosemwa hapa atakuwa na kesi 7 za kushitakiwa na kesi moja ya kushitaki; jumla nane huko USA wakati yeye anaishi kinondoni shamba!
 
Ulitaka ufafanuzi gani zaidi ya hiyo statement?

Huyu mama analalamika na kuingiza wa USA kutatua tatizo lake. na nilivyosoma majibu ya wadau sasa inaeleweka kwanini niliuliza ameweka makao ya kuishi USA na ni mbunge, na sasa itajulikana kama kweli ana uraia wa USA au hana hiyo kesi ikianza. Na hapo ndipo atatakiwa kujibu maswali ya wa TZ na kushitakiwa kuwa na uraia wa nchi mbili wakati TZ hairuhusu hiyo.

Na inajulikana kuwa ukiingia katika mambo ya kesi siri zote zitatoka.

Mie sijaona kokote ametetea hii kitu iliyosemwa zaidi ya yeye kurukia kushtaki na online unaona jina lake lina makesi pia. Na sasa I hope atatuambia anasaidiaje wananchi akiwa anaishi marekani. Wow acha kesi ifunguliwe tuone mambo na maisha yake yakoje, I can't wait maana ni hawezi shinda.

nimefurahi kwa majibu ya wana JF.
 
Ribosome
Pengine huelewi kingereza.Mwambie mtu anayejua kiingereza akufanyie tafsiri maana press release iliyotolewa imefafanua kila kitu. Pengine hawezi kwenda deep zaidi kwa kuwa swala liko chini ya upelelezi. Si unajua tena Marekani huwezi ukapublish tangazo la uongo kusingizia law enforcement wanamshikilia mtu na pia ukaweka account number ukiwataka watu wapeleke pesa kwenye hiyo account.Hiyo ni scam, endapo watuhumiwa watanaswa, they will be in big shit!
 
mzurimie
unajua wabongo huchukulia vitu rahisi rahisi na ndiyo maana mnapublish mambo bila ushahidi matokeo yake mnaishia kusaidia kwenye investigation bila kujua.Computer crime inaweza ikachunguzwa kutokea popote pale duniani. Jamani muwe mnajisomea.Mfano unavyojiaminisha kuwa huyo mama ana uraia wa Marekani, una uhakika? Ni vizuri mtu ukatafuta kwanza proof ya unachokiandika vinginevyo unaweza kuaibika. Kuwa makini Marekani siyo kama bongo ambapo mambo kama haya hayafuatiliwi.Kumbuka huyu mama sasa hivi yuko Maryland akiandaa mkutano wa chadema na ukumbuke aliishi na kufanya kazi US kwa zaidi ya miaka kumi.Hapa yeye si mgeni pamoja na kwamba tangu awe mbunge makao yake ni Dar.Kumbuka kuwa ana haki ya kuwa kiongozi Tanzania kama raia wa nchi hiyo. Inaonakana watanzania hawapendi watanzania wanaoishi kwenye diospora kurudi nyumbani na kugombea nafasi za kisiasa. Hii ni haki yetu . Kwanza nampongeza huyu mama pamoja na kwamba yeye ni mbunge, lakini amekumbuka alikotoka na ametumia muda wake kuandaa mkutano ili wabunge wa chadema wapate nafasi ya kuongea na watanzania waishio Marekani.She is not selfish kwani kuna wabunge wengi tu waliotokea nje ya tanzania lakini hawajafikiria kuwafuatilia watanzania walioko nje ya nchi.
 
Ribosome
Pengine huelewi kingereza.Mwambie mtu anayejua kiingereza akufanyie tafsiri maana press release iliyotolewa imefafanua kila kitu. Pengine hawezi kwenda deep zaidi kwa kuwa swala liko chini ya upelelezi. Si unajua tena Marekani huwezi ukapublish tangazo la uongo kusingizia law enforcement wanamshikilia mtu na pia ukaweka account number ukiwataka watu wapeleke pesa kwenye hiyo account.Hiyo ni scam, endapo watuhumiwa watanaswa, they will be in big shit!

Pamoja na hayo ya scam - hapa JF wanajadiliwa akina Obama, Cameron na Kikwete, itakuwa Leticia Nyerere! Pili, huyu mama anapaswa kujibu hoja ya msingi - je ana kesi saba zinazomsubiri huko Maryland? na atakuwaje mkaazi wa Maryland, USA na wakati huo huo anadai kuwa mbunge wa Tanzania? CDM kuweni waangalifu na vetting za wanaotaka ubunge. Suala la Leticia Nyerere linaongza ushahidi kuwa viti maalumu ni useless, labda kama ni kwa ajili ya kupamba ukumbi wa bunge!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom