PreGE2025 Mbunge ashangazwa Martha Karua kurudishwa Kenya akiwa salama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,183
Reaction score
2,100
"Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na mitungi ya gesi kule kwao, anapumulia gesi," anaeleza Maryam Omar Said, Mbunge wa Pandani, Zanzibar.

"Tumemuacha Martha Karua anaendelea kuzungumza akiwa Kenya kule, mheshimiwa Waziri hili lisitokee tena. Anayekuja kwetu tunamalizana naye hapa hapa, anayeingia ndani ya kumi na nane zetu, tumalizane naye hapa, hapa," alisisitiza Maryam, huku Wabunge wenzake wakimpigia makofi.

Attachments

  • 1366476995595018551.mp4
    32.5 MB
Wabunge wengi wanaoongea Leo mara nyingi ikiletwa miswada mizito bungeni huwez kuwasika wakichangia maana ni weupe kichwani .

Alafu ndio mnategemea bunge hili liisimamie serikali? Kazi ipo.
 
"Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na mitungi ya gesi kule kwao, anapumulia gesi," anaeleza Maryam Omar Said, Mbunge wa Pandani, Zanzibar.

"Tumemuacha Martha Karua anaendelea kuzungumza akiwa Kenya kule, mheshimiwa Waziri hili lisitokee tena. Anayekuja kwetu tunamalizana naye hapa hapa, anayeingia ndani ya kumi na nane zetu, tumalizane naye hapa, hapa," alisisitiza Maryam, huku Wabunge wenzake wakimpigia makofi.
Ana watoto!!??
Hao watoto wake wanaishi wapi (kama anao)!!?
 
Mjadala wa leo Bungeni utasaidia sana Waendesha Mashtaka wa Kimataifa na Wapelelezi wa Kimataifa kujua CCM ni watu gani na kwa kiasi gani walichelewa kuwachukulia hatua.

Ninachopenda zaidi ni kwamba mjadala huu utarahisisha sana mashtaka dhidi ya Samia na Wasaidizi wake.

Ndo yale yale ya Wahutu kwa Watutsi Let's kill the cockroaches. CCM imejiingiza tunduni kirahisi sana.
 
"Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na mitungi ya gesi kule kwao, anapumulia gesi," anaeleza Maryam Omar Said, Mbunge wa Pandani, Zanzibar.

"Tumemuacha Martha Karua anaendelea kuzungumza akiwa Kenya kule, mheshimiwa Waziri hili lisitokee tena. Anayekuja kwetu tunamalizana naye hapa hapa, anayeingia ndani ya kumi na nane zetu, tumalizane naye hapa, hapa," alisisitiza Maryam, huku Wabunge wenzake wakimpigia makofi.
Tuseme ukweli hawa watu wanamchafua rais wakidhani wanatetea ila wanafanya demage kubwa sijui kama wanaelewa hata kidogo wanachokifanya hakisaidii ila kina haribu taswira kabisa ya wanayemtetea na Bunge kwa ujumla wanenda kishabiki ila there is consequences mbeleni muda sio mrefu wajifunze kilichomkuta rais wa South juzi kwa Trump akawekewa VAR kama Kigaila dunia inaona wanatoa attention wakizani ndio uzalendo kumbe ni uzandiki wanaichafua nchi wanamchafua kiongozi big time wenye chama chenu muwashauri
 
Huwa wananywea wapi hawa? Ili tukaongee nao Lugha isiyohitaji masikio kusikia wala akili kuelewa....
 
Hizi reaction ni za kijinga na kipuuzi kuwatukana wanaharakati wale. Martha Karua ni wa kuheshimiwa si wa kuchukuliwa poa mama yule. Ujio wao nchini hawakuja kimafia walikuja kama wanaharakati wa haki za binadamu. Ni upuuzi kuanza kujititimua kumtukana mwanaharakati na mwanasia yule mwenye heshima yake. Martha Karua once anaweza kuwa kiongozi mkubwa mwandamizi wa serikali ya Kenya. Sasa kama mnamtukana na kumdhalilisha itakuwaje siku akiwa waziri mwandamizi wa Kenya let's say akawa waziri wa mambo ya nje au wazri wa afrika mashariki, kwa hali hii mtasema siasa hazina adui au rafiki wa kudumu? Haya matusi na kashfa wanazotukana wabunge mbona ni utovu wa nidhamu na ni matusi ya wavuta bangi vijiweni? Hizi sasa ni tabia za wavuta bangi na walevi wa pombe za mataptapu
 
"Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na mitungi ya gesi kule kwao, anapumulia gesi," anaeleza Maryam Omar Said, Mbunge wa Pandani, Zanzibar.

"Tumemuacha Martha Karua anaendelea kuzungumza akiwa Kenya kule, mheshimiwa Waziri hili lisitokee tena. Anayekuja kwetu tunamalizana naye hapa hapa, anayeingia ndani ya kumi na nane zetu, tumalizane naye hapa, hapa," alisisitiza Maryam, huku Wabunge wenzake wakimpigia makofi.
Hii nchi ni nyoko!, nyoka wanatoka mchana kweupe, wanawika kama majogoo wakati ni matetea...
CHADEMA wamefuta "DE", CCM wakiendeleza "M", ACT Zenji, CHAUMMA Bara, hamna CUF Wala NCCR.

Mimi naenda Dark....
 
"Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na mitungi ya gesi kule kwao, anapumulia gesi," anaeleza Maryam Omar Said, Mbunge wa Pandani, Zanzibar.

"Tumemuacha Martha Karua anaendelea kuzungumza akiwa Kenya kule, mheshimiwa Waziri hili lisitokee tena. Anayekuja kwetu tunamalizana naye hapa hapa, anayeingia ndani ya kumi na nane zetu, tumalizane naye hapa, hapa," alisisitiza Maryam, huku Wabunge wenzake wakimpigia makofi.

Fatilieni michango ya wabunge wa Zanzibar mtagundua jambo.
 
Back
Top Bottom