Mbunge apata ajali!

Che Mkira

Senior Member
Jul 8, 2014
117
152
Mbunge wa viti maalum Chadema Cecilia Daniel Paresso Amepata ajali usiku huu akiwa na wenzake kutoka Arusha mjini kuwaona madiwani na wananchi wanaondelea kushikiliwa wamefikishwa hospitali ya Seliani kupatiwa matibabu.
Wamepata majeraha machache mikononi na wamepokelewa wanaendelea kupatiwa matibabu.
 
Pole sana kwa mbunge huyo, Mungu amjalie apone haraka ili aendelee na majukumu yake ya kifamilia, kijamii na kitaifa
 
Mungu akulinde MH wetu na wote waliopata ajali sisi kama wananchi wenu mnaotupigania tunawaombea kwa dhati kabisa
 
Sema mbunge wa Babati (sina uhakika kati ya mjini au vijijini), huyu si alimwangusha Chambiri?
 
WEwe ndo Dr. uliye waattend?? maana si spidi hiyo ya kutoa taarifa....
 
Aaaah,, uko sahihi mkuu laki si pesa ingawa sasa hivi umeshajua kwamba laki ni pesa! Nilikuwa nimewachanganya hawa warembo wa ki-Iraqw!
 
Back
Top Bottom