Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,725
- 18,620
Mbunge wa Konde Zanzibar Khatib Hajj, amehoji kauli za serikali ambazo zilikuwa kwa namna moja ama nyingine zikionyesha msimamo laini ama kutokukemea ya ushoga nchini
Mbunge huyo ameshangaa pamoja na utajiri wa Tanzania tulio nao tunashindwa kusimamia mambo tunayoyaamini kisa tunahofia tutanyimwa misaada
Kangi Lugola alisimama na kusema inawezekana alinukuliwa vibaya kwani Tanzania ina sheria tayari ya kuadhibu watu wanaotumia viungo vyao vya mwili kinyume na asili na kuwa Tanzania ni hekalu la Roho Mtakatifu