Mbunge wa Jimbo la Igalula,Mh Mfutakamba,jana ilimlazimu kuingia na ndala ktk mguu wake mmoja wa kushoto baada ya kuwa ameteguka.
View attachment 252923
Mfuta kamba alionekana kwenye viwanja vya bunge akikimbia ili kuwahi nafasi yake ya kuuliza maswali ktk kipindi cha maswali na majibu.
Mbona yuko strong hivi ametenguka kweli huyo au ndo mashart ya kalmanzirae
Mbunge wa Jimbo la Igalula,Mh Mfutakamba,jana ilimlazimu kuingia na ndala ktk mguu wake mmoja wa kushoto baada ya kuwa ameteguka.
View attachment 252923
Mfuta kamba alionekana kwenye viwanja vya bunge akikimbia ili kuwahi nafasi yake ya kuuliza maswali ktk kipindi cha maswali na majibu.
Mh! ateguke huku awe anakimbia kiasi hicho au ndio mambo ya uchaguzi?
Ananikumbusha kwa wale waliosoma Ifunda ilikua ukichelewa kwenda assembly asubuhi unawahi dispensary lakini kumbe mwalimu Patime (Raphael) tayari kesha anzia huko kuchukua mahudhurio ya wagonjwa kwa hiyo kisingizio cha ugonjwa inakua kazi bure.
Sasa kulikua na ulazima gani wa kuvaa kiatu kimoja? Halafu kuteguka huko angevaa sandals nyepesi tu.Sio kama alivyofanya kuvaa ndala na kiatu kimoja.