Mbunge ahoji: Bila maji huwezi kulala na mama, tutapataje watoto?

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Ni mbunge wa Kilwa Suleiman Habib Ngala alipokuwa akisisitiza umuhimu wa maji, huku akisema serikali imekuwa ikitoa ahadi lukuki kuhusu maji lakini hadi leo kuna tatizo kubwa, na jimboni kwake upatikanaji wa maji ni 48.3%

ila ni kweli ana Hoja kwa upande Mmoja...kuwa Maji ni Uhai ila icho kisingizio co hoja ya mashiko....Mawazo yangu tu...no offense
 
Nafikiri ametumia maneno ya ovyo sana. What does it mean by "kulala na mama". Hakuna maneno mengine yanaweza kutumika badala ya hayo? you don't call mtu unayelala naye "mama". That is disgusting....
 
Ni mbunge wa Kilwa Suleiman Habib Ngala alipokuwa akisisitiza umuhimu wa maji, huku akisema serikali imekuwa ikitoa ahadi lukuki kuhusu maji lakini hadi leo kuna tatizo kubwa, na jimboni kwake upatikanaji wa maji ni 48.3%

Huyu anaitwa Suleiman Bungala "Bwege"
 
Nafikiri ametumia maneno ya ovyo sana. What does it mean by "kulala na mama". Hakuna maneno mengine yanaweza kutumika badala ya hayo? you don't call mtu unayelala naye "mama". That is disgusting....
Mbona katumia neno la kawaida.Neno mama lina maana kubwa sana na lina heshima yake.mbona nchi yako inaitwa nchi mama
 
Ni mbunge wa Kilwa Suleiman Habib Ngala alipokuwa akisisitiza umuhimu wa maji, huku akisema serikali imekuwa ikitoa ahadi lukuki kuhusu maji lakini hadi leo kuna tatizo kubwa, na jimboni kwake upatikanaji wa maji ni 48.3%

Kuna comedi nyingi sana bungeni, jana mbunge mmoja wenzake wako serious na uchaguzi akawa na swali, kupewa nafasi anamwambia spika wabunge kina mama wapigishwe kura fasta kisha wawe released wakanyonyeshe!
Dah!
 
Kuna baadhi ya mikoa wake zao wanawaita mama, kule kenya wanawaita bibi. So alikuwa sahihi kutegemea na mazoea yake
 
Nafikiri ametumia maneno ya ovyo sana. What does it mean by "kulala na mama". Hakuna maneno mengine yanaweza kutumika badala ya hayo? you don't call mtu unayelala naye "mama". That is disgusting....
So tunavyomuita mama Magufuli tunamtusi mkuu?
 
Back
Top Bottom