IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,048
- 5,636
Hapa CCM tutaendelea kudharaulika kwenye jamii kama huyu ndio mbunge aliyekuwa analilia upuuzi
Ukipiga magoti kama hivi basi mazezeta na wajinga lazima wakupe uwezo kuwa na VX, kujenga nyumba, kusomesha watoto shule zilizo overpriced, kununua nguo zako na za familia kwenye maduka overpriced, kusafiri nje ya nchi na mikoani, ofisi, mshahara na posho zamamilioni kwa mwezi, mikopo ya kufa mtu na kuingia kwenye bunge tukufu kwa muda wa miaka 5! Haiatajali kama utawaletea maendeleo au kubwata kama kasuku bungeni! Bongo tambarare kweli..Hapa CCM tutaendelea kudharaulika kwenye jamii kama huyu ndio mbunge aliyekuwa analilia upuuzi View attachment 348626
100% i agree.. Sekunde chache tu nilizomsikiliza pale bungeni unajua kabisa kuwa anaigiza.. Hana data wana hana nondo kajaliwa tu kuwa na shepuNimeangalia mahojiano yake na millard nimegundua vitu vingi juu yake
1. Uwezo wake wa kufikiri ni hafifu
2. Uelewa wake wa mambo ni mdogo mnoo (anaweka porojo kwenye maswala ya msingi mf. anaulizwa kuhusu elimu yake anaanza toa hotuba)
3. Ni wazi nafasi aliyonayo hajui uzito wake(hajajitambua yeye ni nani) kwani anatishia eti "AM A LEADER" kwani kuwa leader ndo kukufanye uende nje ya mstari?
4. Anaongea pasipo break anazidi cherehani spidi, akiulizwa swali moja yeye anatoa hotuba badala ya kujibu kwa hoja
5. Body language yake ni ushahidi kuwa something is behind(WATU WA PHYSIOLOGY WANAELEWA NACHOMAANISHA)
6. Ni mjanja mjanja ni aina ya watu flani ambao hupenda kujua vitu juu juu, mf. Kujua kwake maneno kadhaa ya kiingereza anadhani ni mwelevu kuliko (MACHO NA MDOMO ANAPOZUNGUMZA)
Brother vipi Mtu WA usalama , Psychologist au Wee Ni padre.Nimeangalia mahojiano yake na millard nimegundua vitu vingi juu yake