beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Mbunge wa Konde, Khatib Haji amesema tatizo kubwa kwa Wafanyabiashara hususan wadogo ni utitiri wa kodi zinazowekwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
Akiwa Bungeni ameeleza, "Leo tunazungumza wafanyabishara wakubwa wanaondoka, lakini hata hawa wadogo pia watapotea kwasababu Kodi zimezidi ukubwa wa Biashara zao"
Amesema imekuwa nafuu kwa Wafanyabishara kuchukua bidhaa za nje na kuzirudisha Nchini kwasababu Mataifa yaliyotuzunguka yameweka kodi zinazolipika
Amesisitiza, "Tupanue wigo Wafanyabiashara walipe Kodi inayolipika ili wawe wengi, Nchi yetu ipate Kodi nyingi, na tuweze kuendelea"