Mbunge ACT-Wazalendo asisitiza tatizo kubwa kwa wafanyabiashara ni kodi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mbunge wa Konde, Khatib Haji amesema tatizo kubwa kwa Wafanyabiashara hususan wadogo ni utitiri wa kodi zinazowekwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Akiwa Bungeni ameeleza, "Leo tunazungumza wafanyabishara wakubwa wanaondoka, lakini hata hawa wadogo pia watapotea kwasababu Kodi zimezidi ukubwa wa Biashara zao"

Amesema imekuwa nafuu kwa Wafanyabishara kuchukua bidhaa za nje na kuzirudisha Nchini kwasababu Mataifa yaliyotuzunguka yameweka kodi zinazolipika

Amesisitiza, "Tupanue wigo Wafanyabiashara walipe Kodi inayolipika ili wawe wengi, Nchi yetu ipate Kodi nyingi, na tuweze kuendelea"
 
Hivi kwenye ule msafara wa mamba kenge akiomba kuchimba dawa,mamba wanaweza kumsikiliza?
 
Mbunge wa Konde, Khatib Haji amesema tatizo kubwa kwa Wafanyabiashara hususan wadogo ni utitiri wa kodi zinazowekwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Akiwa Bungeni ameeleza, "Leo tunazungumza wafanyabishara wakubwa wanaondoka, lakini hata hawa wadogo pia watapotea kwasababu Kodi zimezidi ukubwa wa Biashara zao"

Amesema imekuwa nafuu kwa Wafanyabishara kuchukua bidhaa za nje na kuzirudisha Nchini kwasababu Mataifa yaliyotuzunguka yameweka kodi zinazolipika

Amesisitiza, "Tupanue wigo Wafanyabiashara walipe Kodi inayolipika ili wawe wengi, Nchi yetu ipate Kodi nyingi, na tuweze kuendelea"

Kusikia hao mpaka damu iwatoke masikioni.

Waelewe vipi hali wao hawalipi kodi?

Kelele za kusema Serikali legelege hasikusanyi kodi zimesombwa na changamoto za upumuaji
 
Mbunge wa Konde, Khatib Haji amesema tatizo kubwa kwa Wafanyabiashara hususan wadogo ni utitiri wa kodi zinazowekwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Akiwa Bungeni ameeleza, "Leo tunazungumza wafanyabishara wakubwa wanaondoka, lakini hata hawa wadogo pia watapotea kwasababu Kodi zimezidi ukubwa wa Biashara zao"

Amesema imekuwa nafuu kwa Wafanyabishara kuchukua bidhaa za nje na kuzirudisha Nchini kwasababu Mataifa yaliyotuzunguka yameweka kodi zinazolipika

Amesisitiza, "Tupanue wigo Wafanyabiashara walipe Kodi inayolipika ili wawe wengi, Nchi yetu ipate Kodi nyingi, na tuweze kuendelea"
Hizo kodi kubwa hues ni zaidi hapo. Mfanya biashara hutajiwa kodi kubwa zaidi na mkadiria kodi, huipunguza kufikia hapo iliopo baada ya kupewa takrima. Mbali na mishahara minono walio nayo, TRA ni wapigaji wakubwa.
 
Back
Top Bottom