Mbunge Abood atoa Ambulance na kugawa maelfu ya Barakoa mji mzima ili kuwakinga Wananchi na Corona

kwa hiyo kwa sababu ni kwenye jimbo lake basi aruhusiwe afanye mikusanyiko? au hao viongozi wengine walio kabidhiwa zoezi basi wao wanaruhusiwa kufanya mikusanyiko
Umesoma comment yangu vizuri au unakurupuka tu hivi nyie viwavi mnatatizo gani kichwani Soma Tena halafu ucomment
 
Huoni ni jambo jema? Palikuwa na upotoshaji sana wakati mzee wa watu alifanya jambo kubwa kuliko huyo mama na akajikausha tu.

Wapambe wa Devota wamemharibia kuanza kumtusi mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee kastuka baada ya maza kugawa barakoa, unasema hapendi kiki kwani hilo gari limeandikwa limetolewa na Nguvu wa jf?
 
Umesoma comment yangu vizuri au unakurupuka tu hivi nyie viwavi mnatatizo gani kichwani Soma Tena halafu ucomment
kama nisinge isoma nisinge kuquote,haya hoja yako ni ipi na kipi unacho kitetea zaidi,mana kama ni mikusanyiko wote wamesababisha mikusanyiko iwe ni kwenye jimbo lake au wapi mikusanyiko kipindi hiki cha corona hairuhusiwi,pia viongozi walio kabidhiwa kuzigawa mikusanyiko hairuhusiwi mbona wanatafta cheap populality waonekane wanajali
 
Abood amekabidhi kwa viongozi wa manispaa hajawakusanya hao wanainchi nakuwapa mmoja mmoja huyo dada anapita kukusanyanya watu msururu na kuwagaia huoni tofauti hapo
 
Back
Top Bottom