Mtalii wa Kisiasa
Member
- May 3, 2019
- 53
- 145
Ya zaman ni ipi mh?Umekuja na I'd mpya, sawa mheshimiwaa
Nakubaliana kabisa na hiliBURIGI CHATO;
Hali ya hewa ya ukanda wa Kagera hadi Chato ina mvua za misimu mitatu ya mvua kwa mwaka hivyo ukame ni nadra sana kutokea katika ukanda huo. Na kwa sababu ya kuwa upande wa magharibi wa ziwa Victoria, upepo unaovuma kuelekea nchi kavu unasafirisha hewa yenye umajimaji.
Kijiografia Upepo unaovuma kutoka magharibi mwa ukanda wa Kagera hadi Chato kwenda mashariki, unakuwa na mvuke kutoka msitu mkubwa wa Kongo. Na kutokana na ziwa kuna mawingu ya Cb (Cumuloninbus) yanayo leta mvua nyingi inayo ambatana na radi siku 215 kwa mwaka katika sehemu hizo za Chato na Kagera kwa ujumla.
Majani na miti hubaki ya kijani (evergreen ) mwaka mzima.
#Karibu Mbuga ya Burigi-Chato.
This is plagiarism! It is an offense Mtalii wa Kisiasa. Why mara!BURIGI CHATO;
Hali ya hewa ya ukanda wa Kagera hadi Chato ina mvua za misimu mitatu ya mvua kwa mwaka hivyo ukame ni nadra sana kutokea katika ukanda huo. Na kwa sababu ya kuwa upande wa magharibi wa ziwa Victoria, upepo unaovuma kuelekea nchi kavu unasafirisha hewa yenye umajimaji.
Kijiografia Upepo unaovuma kutoka magharibi mwa ukanda wa Kagera hadi Chato kwenda mashariki, unakuwa na mvuke kutoka msitu mkubwa wa Kongo. Na kutokana na ziwa kuna mawingu ya Cb (Cumuloninbus) yanayo leta mvua nyingi inayo ambatana na radi siku 215 kwa mwaka katika sehemu hizo za Chato na Kagera kwa ujumla.
Majani na miti hubaki ya kijani (evergreen ) mwaka mzima.
#Karibu Mbuga ya Burigi-Chato.
Wanyama wote waliopelekwa huko walikuwepo kabla hawaja windwa na kutokomezwa miaka ya 90Mmm yajayo yanafurahisha. Ecosystem ya sehemu inaruhuru Hao wanyama. Kingwa usikute mnamfurahisha Rais huku mkitoka jasho jembamba mkijisemea tutafanya kl kitakachomfurahisha. Mengine atajua mradi watoto wanaenda Chooni hasara ni Ya wavunja jasho
Haaaa Sasa toeni maelezo kamili mnashindwa na wakenya kujitangaza.Wanyama wote waliopelekwa huko walikuwepo kabla hawaja windwa na kutokomezwa miaka ya 90
Hiyo inawezekana sana! Kihivi: wewe si ni Mchaga, basi siku ukiwa Msubi au Msumbwa (yaani wenyeji wa Chato) ni wakati huo unaweza kubeba hiyo Ngorongoro na kuipeleka kwenu Chato. Bila hivyo utabaki Mchaga na kuendelea kuwaonea geri Wasubi na Wasumbwa ambao wamekosa maendeleo tangu Adam na Hawa waumbwe, ila awamu hii wamepata vitu vidogo sana katika maendeleo na vinatajwa sijui viwili au vitatu. Lakini vitu hivyo vinakukosesha usingizi ukivitamani wewe navyo viwe vyako. Yaani vyako tu ni wewe unayestahili-wengine wabaki nyuma.....hivi kweli hatuwezi kuibeba ile kreta ya ngorongoro pamoja na vilivyomo kuvihamishia burigi chato...??
Nimeuliza tu kutokana na ujinga wangu
Joined 3 may 2019BURIGI CHATO;
Hali ya hewa ya ukanda wa Kagera hadi Chato ina mvua za misimu mitatu ya mvua kwa mwaka hivyo ukame ni nadra sana kutokea katika ukanda huo. Na kwa sababu ya kuwa upande wa magharibi wa ziwa Victoria, upepo unaovuma kuelekea nchi kavu unasafirisha hewa yenye umajimaji.
Kijiografia Upepo unaovuma kutoka magharibi mwa ukanda wa Kagera hadi Chato kwenda mashariki, unakuwa na mvuke kutoka msitu mkubwa wa Kongo. Na kutokana na ziwa kuna mawingu ya Cb (Cumuloninbus) yanayo leta mvua nyingi inayo ambatana na radi siku 215 kwa mwaka katika sehemu hizo za Chato na Kagera kwa ujumla.
Majani na miti hubaki ya kijani (evergreen ) mwaka mzima.
#Karibu Mbuga ya Burigi-Chato.
Duh, mboga tena?...Kumbe mboga zipo nyingi zaidi ya zile tulizozizoea.