Mbu anasaidia kueneza HIV

Mbu anasaidia kueneza HIV

Inamanisha mfumo wa elim wa tanzania n mbovuu sanaa au??
 
Je ukitafuna bigijiii/bublishi ya mtu ambaye anatumia dozi ya ARV je anaeza pata maambukizi...?! Nijulisheni wadau

anaweza akawa anatumia ARV lakini hana AIDS, ila kama anao na mdomoni kuna michubuko utaambukizwa... ila kama hana michubuko mdomoni hautaambukizwa..
 
lowassa hakukosea kusema

ELIMU

ELIMU

ELIMU
 
Kuna sababu kadhaa za kufanya hii kitu kuwa statistically improbable.

1. Virusi vya HIV haviwezi kuishi kwenye tumbo la mbu, zinakuwa digested. Hii ni tofauti na malaria ambayo inazalishana katika mwili wa mbu.

2. Mbu hakudungi na damu ya mtu mwengine anakudungu na mate/saliva ambayo inazuia damu yako isigande ili aweze kunyonya vizuri. Vijududu vya malaria vinazalishana katika saliva glands za mbu tofauti na HIV ambao hawawezi kuishi katika mwili wa mbu.
Pia "sindano" ya mbu ina mabomba mawili moja la kukudunga mate na jingine la kunyonya damu.

3. Kiasi cha damu ambacho unaweza kukipata kutoka kwa mbu kama akimg'ata mtu mmoja na hapo hapo akamg'ata mwengine (tuseme kuna mabaki kwenye sindano) ni kidogo sana kufanya maambukizi.
Hapa ni muhimu kuelewa kwamba virus mmoja au wawili kwa kawaida hawatoshi kufanya maambukizi ya HIV hapa sina exact number ila wanahitajika vijidudu kwenye maelfu kufanya maambukizi.
 
Back
Top Bottom