Mbu anasaidia kueneza HIV

Mbu anasaidia kueneza HIV

MFECANE

Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
49
Reaction score
12
utafiti nilioufanya na kushauriana na halmashauri ya kichwa changu nimegundua kwamba mbu anasaidia kueneza HIV. mbu akimng'ata mwenye HIV halafu akaenda kumng'ata na kumtapikia mtu ambae hana HIV naye atakuwa ameambukizwa. EBO KAMA UNAWAZO TOFAUTI NA MM NIJUZE.
 
-Ni aina gani ya Mbu huyo?
-Anapatikana katika sayari ipi?
Labda tuanzie hapo.
 
mbu huyuhuyu anayeeneza malaria (anofeles) na yuko sayar ya dunia.
 
utafiti nilioufanya na kushauriana na halmashauri ya kichwa changu nimegundua kwamba mbu anasaidia kueneza HIV. mbu akimng'ata mwenye HIV halafu akaenda kumng'ata na kumtapikia mtu ambae hana HIV naye atakuwa ameambukizwa. EBO KAMA UNAWAZO TOFAUTI NA MM NIJUZE.
[h=3]Je, ninaweza kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI [/h]
[h=1]Je, ninaweza kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI kwa kuumwa na mbu?[/h] Hapana, mbu na wadudu wengine hawawezi i kukuambukiza virusi vya UKIMWI kutokana na mfumo wa mii li yao. Virusi vya UKIMWI haviwezi kuishi kwenye mii li yao, kwa sababu siyo mazingira vinavyoyapenda. Virusi vya UKIMWI vinajilisha na kuzaliana katika chembechembe nyeupe za damu, lakini chembechembe za aina hii hazipo katika mwili wa mbu. Kwa hiyo, virusi vya UKIMWI vinakufa mara baada ya mbu kufyonza damu na aking‘ata mtu mwingine baadaye hakuna hatari ya kuambukizwa.
Thibitisho jingine la ukweli huu ni kwamba sisi sote tungekuwa tumebeba virusi vya UKIMWI kama mbu angelikuwa anaambukiza kwa sababu sisi sote tunaishi katika mazingira yenye mbu na karibu na watu wengine.
 
kama hivyo wote tungekua waathirika
 
Sisi tuvaao makaptula na kukaa baa za wazi hadi usiku wa manane tungekuwa tumeathirika siku nyingi.
 
nenda kapime ujue afya yako. maana ukikoswa kuambukiza na madem bas utakutana na mbu.
 
kuhusu mashine za kunyolea ziko salama kwa sababu kabla ya kuanza kunyoa huwa wanaweka dawa(sprit) then aftershave
 
Kawaida mbu hana damu!
Anatumia damu yenye anavyonza kuishi kwa hivyo huwezi kutarajia aitapike eti ndio akuambukize.

Wakati unaposikia kuwashwa baada ya kuumwa na mbu, huwa ni kemikali anayokupaka ili kulainisha sehemu ya kufyonzea damu.
 
Niliwahi Kuuliza Swali Kama Hilo Majibu Niliyopewa Ni:- " Virus Vya Ukimwi/UKIMWI Huweza Kuishi Kwenye Damu tu! Mbu anafyonza damu lakini hana uwezo wa kuitema ila anauwezo Wa Kutema/kutoa mate! kwa kuwa virusi/UKIMWI haviishi kwenye majimaji /mate hivyo mbu hawezi kusambaza UKIMWI" Kama Utaridhika Na majibu haya waliyo yaita ya kisayansi Twende Kazi.
 
Virusi vya ukimwi haviwezi kukakaa kwenye kiwango cha joto kinachotumika kwenye mashine za kunyolea wala sio eti spirit inaua.

hivi mashine ya kunyolea na ukeni wapi kuna joto zaidi?
 
hivi mashine ya kunyolea na ukeni wapi kuna joto zaidi?

Weweh mie ni mtu mzima!
Hivi wewe, ushawahi kupigwa shot ukiwa ndani ya papuchi?
Ooh! Samahani nlikuwa namaanisha voltage ya shaving machine!
 
utafiti nilioufanya na kushauriana na halmashauri ya kichwa changu nimegundua kwamba mbu anasaidia kueneza HIV. mbu akimng'ata mwenye HIV halafu akaenda kumng'ata na kumtapikia mtu ambae hana HIV naye atakuwa ameambukizwa. EBO KAMA UNAWAZO TOFAUTI NA MM NIJUZE.

Ni moja kati ya tafiti zilizofanywa kipuuzi sana na majibu yake ya kipuuzi sana afadhali hata utafiti wa twaweza huu wako ni utafiti UCHWARA
 
huo sio utafit uchwara kama wa TWAWEZA. kama mbu anaweza kufyoza damu yenye walaria na kwenda kumuambukiza mtu ambae hakuwa na malaria na akawa na vijidudu vya malaria. je itashindikanaje kwa HIV?
 
Sio kila utafiti una majibu ya kweli...
 
Je ukitafuna bigijiii/bublishi ya mtu ambaye anatumia dozi ya ARV je anaeza pata maambukizi...?! Nijulisheni wadau
 
Je ukitafuna bigijiii/bublishi ya mtu ambaye anatumia dozi ya ARV je anaeza pata maambukizi...?! Nijulisheni wadau

Kwa nini unatafuna big g ilokwisha tafunwa tena mtu mwenye maambukizi
 
Back
Top Bottom