PapoKwaPapo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2008
- 380
- 45
Wakati wa mkutano mkuu wa chadema Mboye alipata muda wa kueleza juu ya chama chake kutuhumiwa kuwa ni cha kikabila na kifamilia....
Wakati wa hoja hii alishindwa kujieleza kwa nini chama si cha kifamilia au kikabila bali aliishia kulalama na kutoa mifano isiyo na tija....eti mbona sisiemu nao wapo hivo, mbona Kikwete na mwanaye, mbona Sita na mkewe, mbona zikawa nyingii...
Tulitaka kusikia kuwa chama si cha kikabila au cha kifamilia kwa sababu hizi.....kwa mfano
a)Uongelee teuzi za wabunge wenu, je si za kifamilia si za kikabila?
b)Utuelezee juu ya uteuzi wako na kwanini hujachaguliwa kama demokrasi yenu inavyosema?
He he he he Masanilo umepinda!Vipi kama ukiamua kwenda alipo na kumuuliza, sidhani kama Mboye atakuja hapa JF na kukujibu!
By the way Mboye yupi huyo?
Mboye yupi huyo?
Kwa kiswahili cha mazungumzo ni tusi, nita proove-
Bintiye - binti yake
Mboye - ?
Mkuu Avatar yako inaniacha hoi asee...big up!lim (x³-7x²) = ∞;612108 said:He he he he Masanilo umepinda!
Mkuu hapo ni enzi nikiwa jeshini, hatukuwa na muda wa kusubiri kukata gogo, lazima ufanye mazoezi kama haya, unaruka na kitu kinajiachia teh teh tehMkuu Avatar yako inaniacha hoi asee...big up!
hivi ni Mboye au Mbowe??
box hiloo......