Naona CCM baada ya kuona Masoud hazuiliki mmeleta mpumbavu wa kutunga katuniz zisizo na uhalisia wala maana....hahahaaaa mmekwama.haya haya sasaaaView attachment 1156851
HahahaaaaaHuko Mali mali huko
wengi wametekwa baada ya kujaribu kuulizia bei ya Ndege hiziWajinga tu watakubaliana na wewe!
Hata ikitua sayari ya Mars, Mbowe, Zt na watanzania wote kwa ujumla wanahitaji Lisiti. Kama unanunua bia au chips (viaz) unapewa Lisiti tena za EDF kwanini ununuzi wa hizo ndege hauna Lisiti hata zakuandika kwa mkono tu!
Tunahitaji CAG akague kama alivyokagua miradi mingine!
Ni wapi hapo ? Kama pande za ituri kule kwa felix tchisekedi au ? Tutonye basi mwana dada...
Mbona wewe upo salama bandugu unafurahia tu maisha na mikutano ya ndani.wengi wametekwa baada ya kujaribu kuulizia bei ya Ndege hizi
Kanda ya ziwa hiyoNi wapi hapo ? Kama pande za ituri kule kwa felix tchisekedi au ? Tutonye basi mwana dada...
Risiti sio lisiti! Vita yangu ni nyinyi 'products' za shule na vyuo vya kata msiojua kuandika vizuriWajinga tu watakubaliana na wewe!