Mbowe, Zitto baada ya Dreamliner kutua India..[emoji2]

blix22

Senior Member
Jun 23, 2013
190
1,000
haya haya sasaaa
IMG-20190718-WA0030.jpeg
 
mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,550
2,000
Sijaweza kukuelewa. Yaani kama ikitua Mumbai wataachwa huko au?? Unataka kutuambia kuwa hao jamaa walishaweka madege yao huko useme soko litapungua au??
Nadhani tatizo sio kutua Mumbai bali ni kuikamata hiyo njia kwa muda mrefu. Kumbuka Kenya Airways haijawahi kupata faida japo walituibia ndege zetu na kuzitaifisha
 
lukoma

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
2,988
2,000
Wajinga tu watakubaliana na wewe!
Hata ikitua sayari ya Mars, Mbowe, Zt na watanzania wote kwa ujumla wanahitaji Lisiti. Kama unanunua bia au chips (viaz) unapewa Lisiti tena za EDF kwanini ununuzi wa hizo ndege hauna Lisiti hata zakuandika kwa mkono tu!
Tunahitaji CAG akague kama alivyokagua miradi mingine!
 
mwasu

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
10,192
2,000
Wewe ni ZWAZWA kweli kwani walisema halita paa? kwa nini lisipae wakati lina uwezo huo? Mzee baba amka linapaa kwa hasara, yaani hili shirika ni janga au hujasoma ripori ya CAG? Linapaatu kama kunguru apaavyo kwani analeta faida nchi gani kunguru?
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
85,301
2,000
Wajinga tu watakubaliana na wewe!
Hata ikitua sayari ya Mars, Mbowe, Zt na watanzania wote kwa ujumla wanahitaji Lisiti. Kama unanunua bia au chips (viaz) unapewa Lisiti tena za EDF kwanini ununuzi wa hizo ndege hauna Lisiti hata zakuandika kwa mkono tu!
Tunahitaji CAG akague kama alivyokagua miradi mingine!
wengi wametekwa baada ya kujaribu kuulizia bei ya Ndege hizi
 
Marisi schweini

Senior Member
Dec 3, 2018
130
500
Wajinga tu watakubaliana na wewe!
Hata ikitua sayari ya Mars, Mbowe, Zt na watanzania wote kwa ujumla wanahitaji Lisiti. Kama unanunua bia au chips (viaz) unapewa Lisiti tena za EDF kwanini ununuzi wa hizo ndege hauna Lisiti hata zakuandika kwa mkono tu!
Tunahitaji CAG akague kama alivyokagua miradi mingine!
Risiti sio lisiti! Vita yangu ni nyinyi 'products' za shule na vyuo vya kata msiojua kuandika vizuri
 
Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
3,804
2,000
Kupanga ni kuchagua ni sawa na kuendesha gari ya tsh/m 200 na kuishi kwenye quarters ya vyumba viwili na familia yenye watoto kumi.

Kwa serikari muhimu ni kumiliki ndege walianza kusema watanzania na donors wamerudia this is an investment with low returns not worth it kwa nchi yenye limited resources.

Kwa upande wa Tanzania tumeshaelewa serikari aifikirii in terms of investment returns hapa ni show off tu.

Kupanga ni kuchagua
 
MWEMBEKIUNO

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
1,624
2,000
sasa mbowe na dream liner kuna uhusiano gani???🤣🤣🤣 Mungu awez kukunyima kila kitu asipokupa akili atakupa ujinga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom