Mbowe; wengine tuna masikio ila hatujasikia ulichosema

Mbowe; wengine tuna masikio ila hatujasikia ulichosema

Taarifa ya daktari mliiskiliza au ushabiki tu??? Heche ni majeraha aliyopata kwenye ajali ya gari ndio yanamtesa ssa hyo sumu iliwekwa kwenye eneo la ajali ama????
akili za kuambiwa ongeza na zako, ulitaka daktari asemeje? uliza wanafamilia, ajali inafanya nyama za mgongo zibanduke mtu akilala
 
akili za kuambiwa ongeza na zako, ulitaka daktari asemeje? uliza wanafamilia, ajali inafanya nyama za mgongo zibanduke mtu akilala
Kwani hujui ajali inaweza kusababisha internal organ damage au ikatamper na mfumo wa mwili kma mishipa au tissues za mwili zinazoweza sababisha athari kma hizo nje ya mwili??? Au wwe umekaririshwa ngozi kupata shida ni mpaka kurogwa na kuwekewa sumu!!! Umesoma dematology??? Kaz kwelikweli
 
unatetea uozo, hii ndo sifa ya chadema, kupotosha, heche kapewa sumu. hacha mbembe
 
unatetea uozo, hii ndo sifa ya chadema, kupotosha, heche kapewa sumu. hacha mbembe
Heche na kaka yake heche pamoja na taarifa ya daktari inasema ni internal injurybza ajali ndio zimesababisha yye kuzidiwa kituko wwe uliye nyuma ya keyboard ambaye hta heche hujawahi kuona hayo majeraha yake unadai kuwa kawekewa sumu?? Does it make sense??? Base ya madai yako ni ipi??? Sumu aliwekewa kwenye ajali ya gari ama
 
In mtizamo wako lakni umejaa ukada.HV huoni mazuri ya akina mbowe?kama ilivo kw a magufuli ,kila maamzi yana faida na hasara zake.maandamano mbona hats UV ccm mnayafanya tena ya kumpongeza mwenyekiti wenu? Acheni uzito w fikra tuwaheshimu viongozi wetu wote.
 
Back
Top Bottom